Nahitaji hapa ushari na mawazo yako

Nahitaji hapa ushari na mawazo yako

mwenye
uwezo wa
kumfanya asinywe
ni wewe!usimuache
kisa pombe!msaidie
aache pombe!


Inaoneka hupendi watu waachane bila 7bu za maana, ok nambie km nataka nimsaidiaje aache pombe ntamsaidiaje? Na je akisema ameacha ndoa ikafungika afu akaendelea?
 
Inaoneka hupendi watu waachane bila 7bu za maana, ok nambie km nataka nimsaidiaje aache pombe ntamsaidiaje? Na je akisema ameacha ndoa ikafungika afu akaendelea?

hatua ya 1:kama anakunywa 4 mfanye
apunguze mpaka 2!
ukishafanikiwa hilo niambie nikwambie hatua ya pili!

 
pombe zikizidi huleta madhara.uwe makini usije pigwa na chupa siku moja
 
Back
Top Bottom