Weka picha
6 MNissan Gani? ila uwe nayari ku negotiate around 6M
Weka pichaKuna Nissan kali kinyama popote unaenda Tanzania hii hata Mererani ndani kule inapita ...
M 8.5
Wataka gar nzito ilihal ww unapesa nyepesiMkuu Vitz naipenda ila haitaweza mikiki mikiki yangu, ndo maana nataka gari nzito kidogo
Kama hujapata gari ni Ku pm namba ya jamaa anauza Gx110 gari iko safi,rangi ya silverMkuu Vitz naipenda ila haitaweza mikiki mikiki yangu, ndo maana nataka gari nzito kidogo
Si mesema bei yake,au hujasoma?Kuna GX 110 Grand. Iko vyema sana sama. 8.5 millioni
Hizi mbaya sitaki