Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

Nic..

Senior Member
Jul 22, 2014
145
160
Nahitaji gari ya Mil 5 mpaka 6

Ningependa Engine size iwe zaidi ya CC 1500 (Yaani 1500 kuPanda juu)
Yenye uwezo wa Kwenda safari ndefu.

Sihitaji Dalali.

Toyota: High Priority

Mwenye nayo ani PM.
 
Weka picha
20171107_071839.jpg
 
Kuna Nissan kali kinyama popote unaenda Tanzania hii hata Mererani ndani kule inapita ...
M 8.5
 
Mkuu Vitz naipenda ila haitaweza mikiki mikiki yangu, ndo maana nataka gari nzito kidogo
Kama hujapata gari ni Ku pm namba ya jamaa anauza Gx110 gari iko safi,rangi ya silver
Jamaa Yuko magomeni

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom