Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

Ilete Bara mkuu! Ntaichukua bila wasiwasi
Hahaha unaogopa kodi [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo adi kuitoa bandari ya dar utakua umefilisi account[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina toyota sienta inataka 5m tu, yoyote anayehitaji anichek
 
Hahaha unaogopa kodi [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo adi kuitoa bandari ya dar utakua umefilisi account[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kodi yake Wacha Kabisaa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Back
Top Bottom