Graduate since 2017
Member
- Jun 15, 2020
- 24
- 90
Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo kata ya msigani mtaa wa kwa Yusuph.
Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja yavkugeuza gari yako iwe ya biashara naweza kuitumia ikiwa hivyohivyo.
Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja yavkugeuza gari yako iwe ya biashara naweza kuitumia ikiwa hivyohivyo.