Nahitaji gari mdogo aina ya IST, Passo au Spacio

Nahitaji gari mdogo aina ya IST, Passo au Spacio

Mgagao

Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
33
Reaction score
34
Wakuu nahitaji gari aina ya IST, Passo au Spacio, namba D itapendeza zaidi ofer itatokana na gari mana najua hizo hapo juu zinatofautiana bei, pia kama kuna ambayo kati ya hizo haijasajiliwa bado nikasajili kwa jina langu itakua poa! pia hata kama ni ya Yard bei ikiwa nzuri nitanunua.
Nipo kibaha.
ASANTENI.
 
Soon madalali wataanza kupishana hapa kama siafu!
 
Wakuu nahitaji gari aina ya IST, Passo au Spacio, namba D itapendeza zaidi ofer itatokana na gari mana najua hizo hapo juu zinatofautiana bei, pia kama kuna ambayo kati ya hizo haijasajiliwa bado nikasajili kwa jina langu itakua poa! pia hata kama ni ya Yard bei ikiwa nzuri nitanunua.
namba zangu ni 0713415537
Nipo kibaha.
ASANTENI.
Passo Silver DCF Year 2005 CC990 Milleage 120K Price 6.5M Negotiable No Accidents records, Minor scratches Picha number yako sioni whatsapp
 
Ukipendelea vitz niambie kuna jamaa yang nnayo ya mlango 3,rangi nyeusi, #DM-- iko vzuri anaiuza 5.3m maongezi yapo naweza kulink naye
Picha nnazo chache lkn

Ova
Asante mkuu
 
Kweli gari hazina ishu, Spacio namba D unabeba kizembe hivyo yani!
 
Back
Top Bottom