Yaani gari ya mbongo ya 2.6ml utendesha mwezi mmoja baada ya hapo utafugia kukuYe hataki kasema mpk October sasa mm nataka hivi karibuni Mbona jf lkn wanapostg magari hadi 2.6m
Sikiliza nikuambie dada, huyo ni mumeo wa ndoa nikiwa na maana kwamba unamjua weakness zake kwa asilimia nyingi ~ ameahidi kukununulia gari tayari, tumia uanamke wako kumfanya ashawishike kukupa kilicho bora zaidi. Wanawake mnafeli wapi aiseee!Hataki kasema kama anataka nitulie anitafutie nzuri ila October kwasasa bajeti yake ndio hiyo kama zipo nikanunue mwenyewe yeye atakua anaweka mafuta ila vingine juu yangu (huu si mtegp jamani[emoji848]) na mm nimekomaa nataka hivyo hivyo namuita fundi tunaenda wote
UtapataNataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu
Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe
Kwa hiyo budget ya milioni tano unapata vits kutoka mkononi mwa mtu bila shaka, pia used kutoka Japan inawezekana ukitulia kucheck mtandaoni. Mpya haiwezekani milele.Kwahiyo napata mpya? Au used ya japan? Vits
Atleast 5m kidogo naweza kumlainisha akaongeza ila 5m+ huko hapana asije akaghairi kabisa[emoji1787][emoji1787]
Karibu sana PKNje inaonekana nzuri nzuri nitamtumia zile picha fundi nitakupa mrejesho maana hapa nadeal na fundi tu ye ndio atasema nifanyaje
Passo ipo yenye cc kidogo kabsa itahifhadhi mafuta yako kabsaHello jf!!
Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana,
Vipi vits/ist/ kigari kidogo tu[emoji87]
Kwa dar, japo kwasasa tupo mkoani soon tunarudi.
Tuma pichaPasso ipo yenye cc kidogo kabsa itahifhadhi mafuta yako kabsa
Used kutoka mtandao gani? Unaijua TRA wewe???Kwa hiyo budget ya milioni tano unapata vits kutoka mkononi mwa mtu bila shaka, pia used kutoka Japan inawezekana ukitulia kucheck mtandaoni. Mpya haiwezekani milele.