Nahitaji gari la Milioni 3 au 4

Nahitaji gari la Milioni 3 au 4

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,235
Reaction score
2,546
Hello jf!!

Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana,

Vipi vits/ist/ kigari kidogo tu[emoji87]

Kwa dar, japo kwasasa tupo mkoani soon tunarudi.
 
Kwa pesa ya 3-4milioni upo uhakika wa kupata vits namba C kutoka mkononi mwa mtu. Kwa IST sidhani, ni vigumu, unless upate kimeo.

Kama unataka kuagiza Japan, kwa vits inabidi ajipange sio chini ya 5milioni, na IST sio chini ya 10milioni.
 
Atleast 5m kidogo naweza kumlainisha akaongeza ila 5m+ huko hapana asije akaghairi kabisa[emoji1787][emoji1787]
 
Nataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu.

Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe.
 
Bajet yako Ifke Ata million 7-9 at least uchukue ktu chenye uhakika
Bei Hizo unawez pata Gari yenye bahat mbaYa
 
Nataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu

Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe
kwa sababu ni gari ya kufanyia biashara jitahidi upate gari ambayo haitakusumbua, imagine upo na mizigo ya wateja wako wana haraka alafu unapata breakdown mara kwa mara kisa gari ni bovu
 
kwa sababu ni gari ya kufanyia biashara jitahidi upate gari ambayo haitakusumbua, imagine upo na mizigo ya wateja wako wana haraka alafu unapata breakdown mara kwa mara kisa gari ni bovu

Haha kweli lakini

Leo tulikua tunabishana sana anasema siwezi kupata kwa hela hiyo nikambishia nikamwambia jf wanapostg tena mazima tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona litanishuka[emoji1787][emoji23] maana mwenyewe kasema nirelax hadi mwakani October sasa mm naona mbali ndio amesema nitafute hilo la 3-4m[emoji30][emoji30]
 
Utapata vits ingawa nakushauri mshirikishe sana mumeo ili kujiondoa kwenye lawama (mlegeze asikuachie wewe peke yako kutafuta na kuinunua hiyo gari muwe wote)
 
Nataka kufanya biashara ya home delivery maana tunabodaboda lakini haleti hela anasingizia mafuta anamaliza kwenye delivery za biashara zangu

Kwahiyo mume wangu kaniambia nitafute gari 3m-4m hata 5m sio mbaya naweza kuongeza mwenyewe
Kwa hiyo budget ya kufikia mpaka 5m upo uhakika wa kupata Vits nzuri, na kwa hizo mishe itakufaa sana (very economy), lakini usijaribu kwa hiyo budget kulazimisha kupata IST, utapata kimeo na kujuta.

IST ni gari nzuri (more space, durable, fashionable, stable) but relative expensive to compare with vits.
 
Haha kweli lakini

Leo tulikua tunabishana sana anasema siwezi kupata kwa hela hiyo nikambishia nikamwambia jf wanapostg tena mazima tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona litanishuka[emoji1787][emoji23] maana mwenyewe kasema nirelax hadi mwakani October sasa mm naona mbali ndio amesema nitafute hilo la 3-4m[emoji30][emoji30]
Asee inabidi utulize akili kweli, bora uchelewe upate gari nzima ,kuliko kuwahi kupata gari mbovu likakusumbua
 
Hello jf!!

Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe inakula sana...
Hii hapa unaipata kwa 4.7milion only

Nitafute 0744033555

IMG-20201229-WA0023.jpg
 
Utapata vits ingawa nakushauri mshirikishe sana mumeo ili kujiondoa kwenye lawama (mlegeze asikuachie wewe peke yako kutafuta na kuinunua hiyo gari muwe wote)

Hataki kasema kama anataka nitulie anitafutie nzuri ila October kwasasa bajeti yake ndio hiyo kama zipo nikanunue mwenyewe yeye atakua anaweka mafuta ila vingine juu yangu (huu si mtegp jamani[emoji848]) na mm nimekomaa nataka hivyo hivyo namuita fundi tunaenda wote
 
Kwa hiyo budget ya kufikia mpaka 5m upo uhakika wa kupata Vits nzuri, na kwa hizo mishe itakufaa sana (very economy), lakini usijaribu kwa hiyo budget kulazimisha kupata IST, utapata kimeo na kujuta...

Kwahiyo napata mpya? Au used ya japan? Vits
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom