Nahitaji gari kwa 2m

Nahitaji gari kwa 2m

Njoo PM kuna Nissan March

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyo itakuwayausalama. Wa taifa aina bima aina rl loh
 
HELLO,

NAJUA KUNA WACHANGIAJI WATAONA AJABU MTU KUHITAJI GARI YA 2M.

ILA NINA FAHAMU KUWA WAKATI MWINGINE MTU HUUZA GARI KWA BEI NDOGO KUTOKANA NA SABABU ZA MSINGI NA ZA HARAKA.

PIA KIASI CHA 2M NI PESA!! HIVYO YAWEZEKANA MTU AKAONA GARI YAKE KAMA ASSET APATE KIASI HIKI KITATUE SHIDA AU JAMBO LAKE.

HIVYO KWA MTU YEYOTE MWENYE GARI NA ANAHITAJI MILIONI 2, BASI TUWASILIANE KWA KUNI-PM.

SIFA ZA GARI;
  • IWE YA 1997-2002
  • CC SI ZAIDI YA 1500
  • MILAGE 0-170,000KM
  • RANGI YOYOTE
  • ISIWE NA TATIZO LOLOTE KA KIMAKENIKA mf ISICHEMSHE KWA SAFARI NDEFU, MFUMO WA UMEME UWE SAWA.
  • BODI LAKE LIWE ZIMA NJE NA NDANI (UCHAKAVU MDOGO SI TATIZO)
  • GARI ISIDAIWE NA TRA. (KAMA ITADAIWA ISIZIDI MWEZI MMOJA)
  • IWE TOYOTA, MITSUBISHI, SUZUKI AU HONDA
  • IWE DSM AU MOROGORO.
  • DRIVE TEST NI LAZIMA.
KARIBU, USIBEZE. KAMA HAKUNA MWENYE UHITAJI HUU SASA BASI WAKATI MWINGINE.

Mkuu kwa bei hiyo labda uende kununua gari Garage. Sorry lkn kama nimekukwaza
 
mkuu kwa bei hiyo labda uende kununua gari garage. Sorry lkn kama nimekukwaza

soma vema maelezo yangu, kisha changia, ndio maana nikasema kama hakuna mwenye shida inayo match na tangazo langu si lazima, wala sina nia ya kutafuta gari kwa bei hiyo, ila najua, pia nina experience, mtu ashawahi kuuza gari yake na hakuwa na alternative ya kutatua shida hivyo akauza kwa hiari sh. 2.5 gari ya milioni 6 au 7.
 
papuchi zina matairi....zinaingia petrol station?..unaweza kuzikalia ukafika ofisini?

watu nashangaa, hivi wanaelewa tangazo? Kwakweli uelewa wa watu baadhi ni finyu sana. Siku zote changia kama umeelewa!!!
 
Watu wengine wana masihala sana, kwa watu makini wenye kufahamu nini nimesema, hakika wamerespond vema tena hata bila kupost humu bali kwa pm, wamenambia gari zao na tunaendelea; ndugu zangu 2m ni hela ndogo lakini bado ni hela zenye uwezo kutatua shida hata kuliko kumiliki gari la 5m. Pia katika hali ya kawaida kuzipata milioni 2 kwa mtu wa kawaida ni kazi ngumu, sasa wengine wanakuja na comment za ajabu sana as if wanalazimika kutoa comment.
 
watu nashangaa, hivi wanaelewa tangazo? Kwakweli uelewa wa watu baadhi ni finyu sana. Siku zote changia kama umeelewa!!!

iq ya watanzania wote ni below 70 kwahiyo usishangae comments za watanzania labda wakorea wangecomment ujinga ningeshangaa.
 
HELLO,

NAJUA KUNA WACHANGIAJI WATAONA AJABU MTU KUHITAJI GARI YA 2M.

ILA NINA FAHAMU KUWA WAKATI MWINGINE MTU HUUZA GARI KWA BEI NDOGO KUTOKANA NA SABABU ZA MSINGI NA ZA HARAKA.

PIA KIASI CHA 2M NI PESA!! HIVYO YAWEZEKANA MTU AKAONA GARI YAKE KAMA ASSET APATE KIASI HIKI KITATUE SHIDA AU JAMBO LAKE.

HIVYO KWA MTU YEYOTE MWENYE GARI NA ANAHITAJI MILIONI 2, BASI TUWASILIANE KWA KUNI-PM.

SIFA ZA GARI;
  • IWE YA 1997-2002
  • CC SI ZAIDI YA 1500
  • MILAGE 0-170,000KM
  • RANGI YOYOTE
  • ISIWE NA TATIZO LOLOTE KA KIMAKENIKA mf ISICHEMSHE KWA SAFARI NDEFU, MFUMO WA UMEME UWE SAWA.
  • BODI LAKE LIWE ZIMA NJE NA NDANI (UCHAKAVU MDOGO SI TATIZO)
  • GARI ISIDAIWE NA TRA. (KAMA ITADAIWA ISIZIDI MWEZI MMOJA)
  • IWE TOYOTA, MITSUBISHI, SUZUKI AU HONDA
  • IWE DSM AU MOROGORO.
  • DRIVE TEST NI LAZIMA.
KARIBU, USIBEZE. KAMA HAKUNA MWENYE UHITAJI HUU SASA BASI WAKATI MWINGINE.

gari ipo mkuu dar nipm au ntumie namba yako nakufuata na gari ulipo popote pale nasubiri mkuu
 
Back
Top Bottom