Nahitaji Gari isiyozid million 4

Nahitaji Gari isiyozid million 4

Mkuu sikukatishi tamaa ila inabidi utafute rafiki fundi makenika maanake hukawii siku unarudi nyumbani badala ya kumuita wife mama mbnative ukamuita mama clutch plate au mama cylinder head!!!
Ni kweli mkuu,nitaufanyia kazi ushauri wako..siku hizi gari za mkononi nying majanga..
 
Nilikuwa nimeshapita, lakini nimeona ngoja nirui nikuibie siri ya bure. acha umiza kichwa, tafuta 1m ufikishe 5m kisha ingia online agiza suzuki kei, 650cc kana ground clearance nzuri tu, mafuta kananusa tu na hakatakusumbua.
karibu.

Ok mkuu,nashukuru kwa ushauri wako,inaweza kunigharimu bei gan mpk naitia mikonon suzuki k frm japan?
 
Ok mkuu,nashukuru kwa ushauri wako,inaweza kunigharimu bei gan mpk naitia mikonon suzuki k frm japan?

Inategemea utachukua ya mwaka gani, lakini ni nadra kuzidi 5.5m mpaka barabarani.
 
Search kaka, hautojutia. ukikwama nicheki tusaidiane, nimeingiza kei nne toka mwaka huu umeanza.

Mkuu kuna Prado new model naitaka ina range ngapi nikikuwekea mchongo wa tax exemption?
 
Mkuu kuna Prado new model naitaka ina range ngapi nikikuwekea mchongo wa tax exemption?

sijakusoma vizuri mkuu, unataka kujua bei ya kuileta mpaka dar halafu kuitoa kwa exemption au unayo sehem unataka kuileta bongo kwa excemption au unataka mchongo wa excemtion tu, weka vizuri sentensi mkuu wangu.
 
suzuki kei ya mwaka gani ndo itakuwaa nzuri?

isiwe chini ya 2000 mkuu, japo kuna watu wanazo za chini ya hapo na wanachapia mwendo mjini kama kawaida havisumbui. vigari vizuri sana mkuu kwa watu walio cost conscious, mafuta ya elfu kumi unapigia mwendo mpaka unaona aibu!
 
Ninataka kuleta ila mchongo wa exemption ninào so ndo nauliza gharama inapungua kwa kiasi gani?
 
sijakusoma vizuri mkuu, unataka kujua bei ya kuileta mpaka dar halafu kuitoa kwa exemption au unayo sehem unataka kuileta bongo kwa excemption au unataka mchongo wa excemtion tu, weka vizuri sentensi mkuu wangu.

Nataka kuileta mpaka dar na nataka nijue gharama yake
 
isiwe chini ya 2000 mkuu, japo kuna watu wanazo za chini ya hapo na wanachapia mwendo mjini kama kawaida havisumbui. vigari vizuri sana mkuu kwa watu walio cost conscious, mafuta ya elfu kumi unapigia mwendo mpaka unaona aibu!

Kaka hako n kazur sana sio
 
Kumbe mbwe mbwe nyingi ishu za magari huzijui qwa qwa qwa!

Hakuna binadamu anaejua yote na hakuna binadamu asiyejua yote kila mtu anaujinga katika suala lingine sijui wala sijawahi Fanya kazi za clearing and forwarding hivyo nakiri kabisa mambo hayo siyajui...

Ila kumiliki gari nimeanza siku nyingi sana....
 
Back
Top Bottom