Mbnative
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 332
- 77
Wadau nahitaji gari isiyozid hela tajwa hapo juu..nimeamishiwa ktk mkoa wenye barabara za hovyo,pia hakuna daladala hivyo nahitaji gari kwa bajeti hiyo..sio mbaya hata ikiwa old model provided inanusa wese bse huku hata mafuta uwa yanatabia ya kuadimika kutokana na ubovu wa barabara..