Dodo18
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 315
- 93
Za jioni ndungu.. Kama tangazo linavyojieleza nilikua nahitaji Gari aina ya convoy war bus huwa zinatumika sana zanzibar kama usafiri wao kila siku.. Huwa ina milango miwili nyuma kama kabati.. Budget yangu 7 mpaka 8.5 million.. Namba yangu nii 0655325325.