Gody
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,250
- 418
Habari za sasa wapendwa
mimi nina shida sana na haka kagari kadogo dogo sasa naombeni msaada wenu ktk haya maswali yafuatayo:-
-Show room za Dar inapatikana kwa how much?
-Je bei yake ina range kwenye shingapi?
Au hapa hapa kama kuna mtu anakauza anambie anakauzaje?
-Je nikisema niwaagizie hawa mawakala kitoke moja kwa moja Japan/china inakuwaje utaratibu wake na bei zake?
Je wale wataalam mnaweza kunisaidia uimara au ubovu wake? Coz mi nakapenda kwa michongo yangu ila skajui wala sina uzoefu nako ndo maana naomba msaada kwenu!!!
SUZUKI_ST90
jamani natumia simu nimeshidwa ku-attach ndo maana nimeweka link ya picha moja kwa moja!!