Nahitaji Gari 15 zinazoweza kubeba Tone 30

Nahitaji Gari 15 zinazoweza kubeba Tone 30

Mbona truck zenyewe hazina plate namba au ndio magumashi , haupo serious mkuu ndio maana unatukana tukana hovyo
Mkuu ulitaka aweke plate number ? Ili iweje.

Huyu mwamba anaongea serious na ana uwezo huo ,

Ila mtu amekuja kuleta biashara hapa si aseme hizo taarifa hapa kuhusu mzigo na , hata picha ya mzigo tabu kupata kweli?
 
NITAWARUDIA BAADAYE. I HAVE BUSINESS TO TAKE CARE OF AND WORK TO DO. SIO LAZIMA MTU ANIELEWE. SIISHI MAISHA KUFANYA WATU WANIELEWE AND SO FORTH. NAFUATA PRINCIPLES ZILIZONIFIKISHA HAPA KIMAENDELEO, AND I WILL NEVER CHANGE!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ACHA KUFANYA REFLECTION. Itakuwa ww ndio una shida ya pesa basi unafikiria kila Mtu ana shida kama ww. Kumbuka usiseme HAKUNA PESA.. Sema sina pesa. Usifikirie kila mtu kafulia kama ww na ana muda wa kuandika ujinga kama ww.
Maneno haya yote ya kazi gani mkuu?

Km nawewe ungekuwa upo serious si ungeenda pm mkaongea Kwa kirefu kisha mkaelewana?

Sasa mara umwambie anaota,Hana hela,Hana huo mzigo ya nn yote haya?

Hapa ndy tunapofeli wabongo,kiingereza kingi kujiona wasomi sn na tuna akili kuwazidi wengine lkn kichwani ni BURE KABISA..Mkuu Acha ukorooofi!!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nina trucks 2. Sina zote 15. Ila nina connection ya kupata hizo nyingine. You want to deal with me, you follow my rules of trade. Otherwise, pita hivi!
Kiingereza kingi lkn kichwani empty kbs

Sasa km Una gari 15 si ungemcheki private na Kama ungeona anakuzingua haya mapuvu yako ungemtolea huko huko..Yaani unamtolea mapovu utadhani hili bandiko alikuandika wewe direct wakati kasema yeyote amcheki..Mkuu km unachamba hivi basi hao wafanyakazi wako kazi wanayo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom