Nahitaji Gari 15 zinazoweza kubeba Tone 30

Habari za asubuhi poleni na misukosuko ya maisha.

Ninahitaji gari hasa nikipata vichanja vinavyo weza kubeba Tone 30 nahitaji zinibebe Korosho mtwara kuleta Dar naomba kama utakuwa nazo njoo inbox tuyajenge
Unapeleka hio korosho Dar kwa nani? Ww ni middle man (dealer) au mkulima.. vibali gani unavyo sasa hivi vya kusafirishia huo mzigo? Una 50% teari ya transportation charges. Nusu utalipa mzigo ukifika. Nijibu hapa hapa ili kama mtu ana wazo achangie.
 
swala la kupeleka kwa nani hilo halikuhusu, pia swala la sijui middle man ama mkulima halikuhusu swala la vibali vipo vyote pia swala la kulipa advance hela ipo mfuko wa shati ni swala la kuleta gari tuandikishane mkataba then malipo yafanyike kazi ianze
 
Linanihusu sana, especially since you said that UNAHITAJI 15 TRUCKS kusafirisha jumla 450 tonnes na drivers wangu ndio wataulizwa hayo maswali wakati ww haupo. Piga picha kwanza ya huo mzigo.. halafu uiweke hapa hapa. Siku hizi waongo ni wengi. Kama una muda wa kupoteza KUANDIKA MAMBO HEWA YA KUTAKA TRUCKS 15 ZA UWEZO MKUBWA HIVYO wengine hatuna muda huo. Sababu umeamua kuja JF kufanya business, ndio mambo yataenda hivi. Weka picha ya huo mzigo kwanza au video kabisa.
 
Linanihusu sana, especially since you said that UNAHITAJI 15 TRUCKS. Piga picha kwanza ya huo mzigo.. halafu uiweke hapa hapa. Siku hizi waongo ni wengi. Kama una muda wa kupoteza KUANDIKA MAMBO HEWA YA KUTAKA TRUCKS 15 ZA UWEZO MKUBWA HIVYO wengine hatuna muda huo. Sababu umeamua kuja JF kufanya business, ndio mambo yataenda hivi. Weka picha ya huo mzigo kwanza au video kabisa.
Wewe kama huwezi biashara acha sina mda wa kubishana hapa unajua njia ya kuwasiliana private
 
Ww itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaa mbona makasiliko? yani umekomaa kabisa hadi unatukana hahaha kweli njaa mbaya sana ndugu jitahidi kufanya kazi upate pesa haya makasiliko hutakuwa nayo
 
😂😂😂 ACHA KUFANYA REFLECTION. Itakuwa ww ndio una shida ya pesa basi unafikiria kila Mtu ana shida kama ww. Kumbuka usiseme HAKUNA PESA.. Sema sina pesa. Usifikirie kila mtu kafulia kama ww na ana muda wa kuandika ujinga kama ww.
 
Kuna waswahili wanakera, mtu ana hitaji trucks,
Wewe unauliza unapeleka kwa nani,
Na huko juu kasema dar.
Wewe unataka asushe mzigo kwa dada yako?
Hizi biashara mengine mchatishane kwa pm huko,nimeshindwa kujizuia kwa kweli.
Sorry mhusika..
Ww haujafanya biashara. Na hauwajui waTz. Atakupotezea muda wako hapa wakati hakuna mzigo wowote. Sorry pia kwako for your ignorance
 
Ww itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Matusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewi
 
Nina trucks 2. Sina zote 15. Ila nina connection ya kupata hizo nyingine. You want to deal with me, you follow my rules of trade. Otherwise, pita hivi!
 
Kwani huyo jamaa kakulazimisha au ni ww na kiherehere chako , ww ndio unatakiwa kupita kimya kimya
 
Matusi ya nn mkuu , kama huna hayo magari c ukae kimya tu , sasa matusi ya nn , au ndio hujielewi
IMG-20211129-WA0003.jpg
IMG-20211129-WA0002.jpg
 
Ww itakuwa umeota una korosho Tani 450. Pambaf kabisa ww. Ndoto zako ziache chumbani kwako usizilete JF. Tuna-discuss mambo halisi hapa tu. Kunguni mkubwa ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu ukute yeye ni dalali kaunganisha mizigo ya watu wengi. Ukute ni agent so huwezi sema hana au hako nazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom