Nazitafuta nyimbo hizi za zamani

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
Wakuu kwema? Poleni na majukumu.

Nahitaji msaada wa hizi nyimbo 3 nimezitafuta bila mafanikio,Nimezitafuta sana.

Kama kuna mwenye nazo kwenye Pc,Kompyuta au simu naomba atume hata ukiwa na moja kwenye hizi 3.

Kwenye boomplay zipo lkn nazihitaji ziwe kwenye simu niweke kwenye frash ikiwezekana na sio za huku online.

1.Ngwair ft ferooz,Nature,Jmoe__MIDA MIBOVU.

2.JAY MOE ft Ngwair,Bamboo___NISAMEHE.

3.JAY MOE__HILI GAME REMIX.

Hizo mala nyingi kila link nayopewa nizipakue inakuwa haifanyi kazi.

Mwenye nazo wadau...
 
Zote ziko youtube download convert au copy link fungua mtandao wa youtube to mp3 convert paste download mp3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom