Nahitaji fremu

alikhalef

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
717
74
Wana jamii ninashida sanaa na frem mbili.

Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).

Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar. Atakayefanikisha kupata frem yeyote ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono.

Contact 0779420000.
 
wana jamii ninashida sanaa na frem mbili. kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff)
na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya dar. atakayefanikisha kupata frem yyt ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono. contact 0779420000
Maeneo gani unataka? Fafanua
 
Kuna mtu humu ndani anapangisha fremu manzese midizini, umemcheck?
 
Wana jamii ninashida sanaa na frem mbili.

Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).

Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar. Atakayefanikisha kupata frem yeyote ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono.

Contact 0779420000.
Sihitaji zawadi nono wala dhaifu njoo manzese Argentina hiyo huduma ni adimu
 
mkuu ulishapata flame na vp biashara yako inaendaje na mm naitaji flame ya mazao ya chakula kama mchele,unga sembe na maharage
 
Atakae hitaji frame rangi tatu ndani ya kituo ni nzuri kwa biashara ya mpesa,tigo pesa, na simu....300,000 kwa mwezi...
 
Wana jamii ninashida sanaa na frem mbili.

Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).

Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar. Atakayefanikisha kupata frem yeyote ile au zote na nikazipenda basi atapata zawadi nono.

Contact 0779420000.
Hizi ni Kazi za watu Mkuu, hapo ishu sio zawadi sema unataka maeneo gani ukaoneshwe frem...

ZINGATIA: Kupelekwa ni fedha....
 
Back
Top Bottom