Daniel Balili Gilbert Buberwa amepotea, ndugu zake tunamtafuta

Daniel Balili Gilbert Buberwa amepotea, ndugu zake tunamtafuta

fatmamajjid

New Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
3
Reaction score
5
Tunapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa kijana wetu mpendwa Daniel Balili Gilbert Buberwa (miaka 17), mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Diploma ya Uhandisi wa Kompyuta (Computer Engineering) katika Chuo cha DIT, amepotea tangu mchana wa jana.

Taarifa za mwisho kumhusu zinaeleza kuwa alionekana maeneo ya Lumumba na Kariakoo akiwa amejifunika shuka jeupe.

Tumejitahidi kumtafuta bila mafanikio hadi sasa, na tayari tumetoa taarifa kituo cha Polisi.

Tunaomba msaada wa raia wema – iwapo utamuona au kupata taarifa yoyote itakayosaidia kumpata, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba zifuatazo:

Simu:
0713 502 353
0717 521 700

TANGAZO LA ZAWADI: Familia itatoa zawadi ya shilingi milioni 1 (1,000,000/=) kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.
IMG-20250424-WA0023.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom