Kwanza unajuwa unaponunuwa simu unapaswa kuangalia uwezo wa betri?Wakuu,,,
Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai.
Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
Unatumia kifaa gani? Fast charging haziingilianiWakuu,,,
Sasa nimechoshwa na haya machaja Uchwara, Simu unachaji masaa masaa 6 bado haijai.
Nisaidie Original &Fast charger kwa brand yoyote kikubwa Iwe genuine and fast na alama muhimu kuwa ni Original.. my Maximum budget ni 50,000/=
Kila la kheri kwake