The Dodge Charger is a model of automobile marketed by Dodge.
The first Charger was a show car in 1964. A 1965 Charger II concept car had a remarkable resemblance to the 1966 production version.There have been several different production variants of Chargers, built on three different platforms and sizes. In the United States, the Charger nameplate has been used on subcompact hatchbacks, full-size sedans, muscle cars, and personal luxury coupes. The current version is a four-door sedan.
Fursa ya ajira
Hata kama huna mtaji leta mteja kwa bei yako, cha juu ni cha kwako
iPhone Original Chargers
25W Adapter
USB C lighting cable
Zipo pis 100 tu
16,000/= Rejareja
14,000/= Jumla (Kuanzia pis 10)
Tabata Aroma
0653776099
Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C.
Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo.
Charger yangu details zake ni hizi
Samsung - Adaptive Fast charging
Input: 100 - 240V, 50-60Hz 1.0A
OUTPUT...
Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo.
Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
Wana jf kwa mwenye kujua bei na mahali napoweza kupata wireless charger ya Samsung maana naona inachagua sana charge hii samsung yangu.
Mahali ni daresalam natanguliza shukrani!
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo.
Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji simu masaa mawili mazima.
Nashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili...
Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni hii hapa kwetu inayochaji simu za techno n.k.
Wamefikia maamuzi hayo Ili kupunguza utupaji wa USB...
Toka nimeanza kutumia charger za simu sijui ni ngapi zimepiga shoti. Kamoja nilinunua tu na kukaweka kwa mara ya kwanza kakapiga shoti. Katika vitu fake vingi ni hizi charger na USB cable.
TBS hebu fuatilieni hili suala. Watu watakuwa wanaunguza majengo kumbe shida ipo hapa kwenye charger...
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.
Leo nitaelezea njia rahisi ya kujua kama charger ni fake or original.
Kwanza charger fake ni ile isiyofikia kiwango chake...
Xiomi imeingiza sokoni simu yao mpya ya Mi11 sokoni. Kama iphone 12 na wao hawatauza sambamba na charger kwa kigezo cha kutunza mazingira na kusaidia kupunguza taka plastiki duniani.
Sababu hii pia ndio walitumia apple inc kutuuzia simu bila charger na ikaleta mijadala mikubwa humu...
Kampuni ya electronics, XIAOMI, Imezindua simu mpya ( Xiaomi Mi 10 Ultra) yenye 4,500 mah battery inayoweza kwenda 0% to 100% charge ndani ya dakika 20 tu ikitumia official charger ya watts 120 🔥
Pia simu hiyo ina support 50 watts wireless charging ambapo itatumia 40 minutes pekee kujaa
Simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.