Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Thank you Much
 
Bora kufa mara moja kuliko kufa mara laki yaani kila siku we utakuwa unakufa na kufufuka!jilipue tu mara moja muache huyo dem aende zake!mwanamke ukishampa attention sana atakutesa hutaona faida ya kupenda.mdogo wangu wanawake wapo wengi tuu jikaze mkatie mawasiliano mwanzo utaona mgumu lakini wazungu wanasema TIME HEALS EVERYTHNG.
 
Nimeshindwa kumaliza kusoma, naona bado unaendeshwa na balehe. Ukikua vizuri utaacha huo upuuzi
 
Asante sana japo ananivunja moyo sana ila mapenzi ya dhati ninayo kwake.
.....Vijana acheni kulia lia, be strong...wekeza nguvu zako kutafuta kazi badala ya kuwekeza kumfurahisha mtu ambaye kwa maelezo yako mwenyewe hakupendi kabisa, na wewe umeshajua.
 
Asante sana.
 
hii trick nzuri sana, na usilazimishe kupata faraja kwa mtu asiyejali juhudi zako
 
Acha kulia Lia tafuta pesa wanawake wapo tu muache aolewa kwani wewe hutokuja kuoa ujue mahusiano yanatufanya vijana wengi tupoteze direction kwenye mambo ya msingi katika maisha badala yake unaanza waza upate pesa umfurahishe mwanamke hili halijaja kwa bahati mbaya achana Na huyu mwanamke jijenge kiuchumi....
Kitu ambacho sijuti ni kuwa single Nina Furaha nafanya nachotaka mipango yangu haiharibiwi Na mtu yoyote wengine muda huu wanawaza wapate wapi pesa wawape wapenzi wao kwa ajili ya sikukuu

Lord thank you......am not among those who suffer because of love
 
Nashukuru sana kwa nasaha zako, Ila najua milango itafunguka japo sikupenda ifunguke yeye akiwa nje nilitaka wote tuingie ndani. [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Awwww! you've fallen deeply deeply in love.

Huwa naona ni vigumu kufanya maamuzi hayo kwake maana hata kama nikiyafanya hawezi hata kuumia hata robo ya maumivu yangu, ninahisi kama nitajitesa sana kuliko sasa.

Nakudedicate these songs sikiliza usiku ukiwa down,
Karyn White- I'd rather be alone than be here unhappy.

Rihanna- Stupid in love.

Cliff Richard- Ocean Deep.

Toni Braxton- How could an Angel break my Heart.

(Hizi nyimbo mbili za mwisho zinaweza kukuzidishia machungu zaidi, unaweza ukaziacha kama vipi, lol)

Huo ndio msaada wangu since umehitaji comfort.
 
Mkuu unavyoitwa mwanaume sio kwasababu tu unamiliki gegedeo, uanaume ni pamoja na kuchukua maamuzi magumu. Piga chini uyo mkuu halafu songa mbele saka life. Usiupe uchi kipaumbele kiasi icho mpaka unakutoa machozi. Asee ita gheto kula mzigo halafu mrushie chupi yake mwambie vaa sepa tusijuane tena uku ukiwa umevaa sura ya ukatili, ukiwajulia hawa hawakulizi mkuu
 
Achana nae atakupa shida huyo ndoa sio sawa na ku date ni zaidi ya hayo
 
Huwa naona ni vigumu kufanya maamuzi hayo kwake maana hata kama nikiyafanya hawezi hata kuumia hata robo ya maumivu yangu, ninahisi kama nitajitesa sana kuliko sasa.
Daaaah! Sasa kama unajua fika kabisa kwamba mzani uko upande, kwa nn upate stress kiasi iko?, Anyway you never know!!
 
Mwanaume Kulia lia kwa sababu ya mapenzi ni usenge, tafuta pesa utagonga mpaka wazuri kama majini, mtu hujamuoa unalia je siku akikuacha baada ya kumuoa si ndo utajiua kabisa, jiwekee akilini kitu kimoja Demu ambae hujamuoa si wako ni wa wote upo nae kwa sabb anatafuta wa kuwa nae ila bado hajapata.
 
Sipend mwanaume kulia mapenzi....wakati wanawake tumekaza Mkanda...
Mwanaume hata ukiwa huna kitu hautakiw kuwa mnyonge mnyonge!! Cha msingi ukipata kazi muache maana ukimuacha nw waweza kufa kwa upweke kwa hyo roho yako.
 
Usilie wewe ni mwanaume kaza moyo...

Anafanya hivo kwakua haupo vizuri kiuchumi na seems hauna sauti kiviile kwake kama mwanaume
Usijali pambana [emoji116] [emoji116] [emoji116]



Cc Smart911
 
we kumuacha hutaki na manyanyaso anayokupa pia hutak cha msingi pambana hayo anayoyafanya kwa ajil ya tamaa ww muignore then focuse kwenye utafimutaji ukipata mtaishi tu vzr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…