Nahitaji Faraja Moyo wangu Unateketea.

Pole sana kaka...ila nikwambie tu ya kuwa kwa huyo hata ukipata ajira ataona wanaume wengine wanalipwa vizuri zaidi yako hivyo ataendelea kukudharau...kama hujaoa ni bora kupiga chini mapema ...ndani ya ndoa hakunaga kujaribu
 
rafiki pole sana,lakini rafiki mapenzi ya pesa siyo,huyo hata ukipata kazi asiporidhika na kipato atakutesa tu,mapenzi ya kweli ni yale yasiyojali chochote.huyo achana naye,japo unampenda fanya maamuzi magumu.
 
We mwanaume mjinga sana kama huyo mwanamke hakupi faraja wakati wa shida sasa unataka nini zaidi?eti nimuoe unawezaje kujiwekea kaa LA moto kichwani..huyo si wako ndio mana anaomba pesa kwa wanaume wengine na jua tu lazima anatoa mzigo huko..
 
una umri gani unalia lia ? hii serikali ya matamko ndio unasubiri ikuajiri ? utakua na mtindio wa ubongo,, halafu mbona kama unalalamika sana kama huyo mpenzi wako ndio kila kitu ? babu mkono mtupu haulambwi, mapenzi ya kuambiana nakupenda huku huwezi hata kumpa elfu tano ya kununua pedi nani akuvumilie ? move on, kama sio rizki atakuja mwingine alie bora kuliko huyo unaemlilia.... grow up man
 
Ni Kwel mkuu lakini pia nakukumbusha tuu wanawake hawaridhikagi hata kidogo ..unaweza ukawa una muhudumia vizur lakini bado wahuni wakawa wanakugongea .yan hawa viumbe inatubidi tutumie akili sana kuishi nao
 
mumu huyoo kwenye ubora wakee

Nataman Mungu angemfungua huyu kijana atambue kua huyo msichana sio kabsaaa
 
Asante sana mkuu ushauri wako ni msaada kwangu.
 
Pole sana!

Mwanamke anaekudharau sio wa kua nae ahata kidogo! Utajisababishia mashinikizo ya damu na magonjwa ya moyo... Mtu mwenyewe ushaonekana una moyo mwepesi!
Mungu atakuletea kazi kwa wakati wake, endelea kumuamini na kutafuta! Kucelewa kupata kazi si kuchelewa kupata mafanikio... Atakuja jiona mbulula baadae.
 
Wewe utaweza kuwa na Me asiye na kitu na je upo naye kwasasa?
Nkimpenda siwezi kuangalia mali za mtu....upendo wa kweli hauangalii pesa wala mali za mtu..mana hizo zinatafutwa na zipo tu
 
Ni wa tatu kwangu kwenye mahusiano
 
Sawa kaka nimeelewa
 
Asante sana Mima
 
Pole sana kaka...ila nikwambie tu ya kuwa kwa huyo hata ukipata ajira ataona wanaume wengine wanalipwa vizuri zaidi yako hivyo ataendelea kukudharau...kama hujaoa ni bora kupiga chini mapema ...ndani ya ndoa hakunaga kujaribu
Asante kwa mchango mdau nazidi kupanua fikra zangu
 
rafiki pole sana,lakini rafiki mapenzi ya pesa siyo,huyo hata ukipata kazi asiporidhika na kipato atakutesa tu,mapenzi ya kweli ni yale yasiyojali chochote.huyo achana naye,japo unampenda fanya maamuzi magumu.
Asante sana mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…