Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
heshima kwenu wakuu,natumai mu wazima wa afya,mie ninalo flashing box langu la ufs nahitaji kuflashi kwa kutumia usb cable lakini tatizo nimeshindwa kwakuwa sina driver kama kuna yeyote anajua hii namna basi anipe maelekezo ya wapi nitapata chief-mkwawa na wengineo nipeni ujanja
Last edited by a moderator: