Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 392
- 737
kwasababu gani boss?Huwezi kupata
Hiyo pesa ndogo sana...utapata wale begginers, na hawa wanafaa kwenye projects ambazo sio complicatedkwasababu gani boss?
Mshahara utaongezwa boss, hiyo ni mwanzo tu ili tuone utendaji kazi wao. Ndomana hatutawaandikia mkataba hadi wakamilishe hiyo project moja tuwaone, then mkataba mdogo wa miezi 6 kwa mshara wa laki 4, na baada ya hapo tunaweza kuwalipa hadi laki 7 muhimu wafanye kazi nzuri boss.Hiyo pesa ndogo sana...utapata wale begginers, na hawa wanafaa kwenye projects ambazo sio complicated
Pamoja bossChana pochi utawaona sirini
Hicho ni kianzio tu boss, wakifanya kazi nzuri mshahara unaweza fika laki 7 na mkataba kuanzia mwaka 1.Wapo wengi I guess, japo kwa 4 kwa mwezi ni ndogo .
All the best mkuuMshahara utaongezwa boss, hiyo ni mwanzo tu ili tuone utendaji kazi wao. Ndomana hatutawaandikia mkataba hadi wakamilishe hiyo project moja tuwaone, then mkataba mdogo wa miezi 6 kwa mshara wa laki 4, na baada ya hapo tunaweza kuwalipa hadi laki 7 muhimu wafanye kazi nzuri boss.
Nashukuru bossAll the best mkuu
kama mtaongeza waalau 600k tunaweza kaa mezaniHeshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali.
Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi tofauti wa web development (front end na back end) na pia wafahamu database na API vizuri. Design za project ya kwanza tayari zipo, ni website lakini ina mambo mengi kidogo. Wanatakiwa kuicode hii website na iingie hewani ndani ya mwezi mmoja au wakichelewa sana miezi 2. Tutawalipa kwa hii kazi na tutalipia gharama zote za hosting wenyewe, na wakifanikiwa tutaingia mkataba wa miezi 6 kwa mshahara wa wa laki 4 kwa mwezi + nauli + msosi (nauli/chakula ni juu yangu), baada ya miezi 6 wakiwa wamefanya vizuri mshahara utapandishwa na tutaingia mkataba mkubwa zaidi.
NASISITIZA;
Nahitaji devs ambao hawaja ajiriwa! Lengo ni kuwa na team kwaajili ya kuunda huu mradi na kuuendesha pia, na ndio maana nawahitaji wasio na ajira ili niwape ajira. Kama UNA UHAKIKA kuwa wewe ni developer mzuri mwenye ujuzi na unahitaji kuwa mmoja wa hii team, basi nicheki kupitia Telegram (Ibu Digital).
Wakishapatikana wa3 nitaunda group letu ili tuwasiliane kwapamoja, hii kazi itaanza mapema mwezi wa 7. Hawa devs wawepo dar kwasababu tutakuwa tunakutana physically kwaajili ya hii project ya awali. Asanteni!
Kiongozi uko sahihi mnooo.Hapa ndo huwa naona tunafeli kwenye eneo la ajira
Imagine kwa sasa hutengenezi hela yoyote upo nyumbani, pengine hata una mwaka nyumbani hujapata ajira bado laki 4 inaonekana ndogo
Si bora hata upate pa kushindia na kudisplay skill yako...na hapa na milango ya connection itakapoanzia
Ni technology gani mmesuggest itatumika kwenye web?(au itategemea na skillsets za team utayopata na trending technologies).Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira rasmi itakuwepo endapo watafanikiwa kukamilisha kazi hiyo ya awali.
Wanatakiwa devs 3 wenye ujuzi tofauti wa web development (front end na back end) na pia wafahamu database na API vizuri. Design za project ya kwanza tayari zipo, ni website lakini ina mambo mengi kidogo. Wanatakiwa kuicode hii website na iingie hewani ndani ya mwezi mmoja au wakichelewa sana miezi 2. Tutawalipa kwa hii kazi na tutalipia gharama zote za hosting wenyewe, na wakifanikiwa tutaingia mkataba wa miezi 6 kwa mshahara wa wa laki 4 kwa mwezi + nauli + msosi (nauli/chakula ni juu yangu), baada ya miezi 6 wakiwa wamefanya vizuri mshahara utapandishwa na tutaingia mkataba mkubwa zaidi.
NASISITIZA;
Nahitaji devs ambao hawaja ajiriwa! Lengo ni kuwa na team kwaajili ya kuunda huu mradi na kuuendesha pia, na ndio maana nawahitaji wasio na ajira ili niwape ajira. Kama UNA UHAKIKA kuwa wewe ni developer mzuri mwenye ujuzi na unahitaji kuwa mmoja wa hii team, basi nicheki kupitia Telegram (Ibu Digital).
Wakishapatikana wa3 nitaunda group letu ili tuwasiliane kwapamoja, hii kazi itaanza mapema mwezi wa 7. Hawa devs wawepo dar kwasababu tutakuwa tunakutana physically kwaajili ya hii project ya awali. Asanteni!
Nishawapata boss, shukran!kama mtaongeza waalau 600k tunaweza kaa mezani
Mimi sio developer, mimi ni msimamizi wa huu mradi.Kwanza Je wewe ni Developer?