Nahitaji dada wa kazi

Ok Sawa, vp madam salary nayo ni ngp ili tukufanikishie kwa haraka na km hutojali weka contacts pm
 
Taja muundo wa ufanyaji kazi,ukubwa wa familia,masaa ya kazi,maslahi yake/posho(sijui ndiyo mshahara kama vinafanana?) na kiinua mgongo akistaafu kwa kuzingatia umri.
 
Mm kaniambia kule ni mbali mno na anaskia kuna unyanyasaji hakuniambia wa nn haswa ila, kinacho muogopesha zaidi ni pia swala la matibabu as huko wa Tanganyika wana kuwa neglected.
 
Mm kaniambia kule ni mbali mno na anaskia kuna unyanyasaji hakuniambia wa nn haswa ila, kinacho muogopesha zaidi ni pia swala la matibabu as huko wa Tanganyika wana kuwa neglected.
Ni kwa taarifa fiche/za kiintelijensia alizozipata,kushuhudia mubashar kwa mmoja wa wahanga au ameshawahi kuhudumu rasmi kitaaluma yake ya uyaya?
 
Mm kaniambia kule ni mbali mno na anaskia kuna unyanyasaji hakuniambia wa nn haswa ila, kinacho muogopesha zaidi ni pia swala la matibabu as huko wa Tanganyika wana kuwa neglected.
honestly anaogopa bure, ni family ya baba mama na mtoto wa miezi 9, hatofanya kaz peke yake muda wote, kua huyo mama watakua wanasaidiana, mshahara ni elf 70 per month mama ni muajiriwa baba muajiriwa
 
Tatizo ni Zanzibar, tena pemba!
Muungano wenyewe umekalia kuti kavu!
Mama kafungua nchi mkuu.Nadhani ilikuwa aidha imejifunga yenyewe au imefungwa(na akina nani?Mimi sijui).Waache vijana waende kutafuta riziki kama waendavyo Uarabuni.Kwanza Zanzibar tumeichelewesha tu.Ingekuwa ni Dubai ya pwani ya Afrika mashariki.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…