Nahitaji dada wa kazi urgent

Hii kazi ina masharti mengii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Jamani haina masharti nirekebishe kidgo
Awe anajua tu kupika hta sio lazima sana mengine atajifunza people they love quotes negative
Cha msingi awe msafi na mchapakazi
 
 
Ulifanikiwaga ila happy kwenye hivyo vyakula ndo hatari kumpata huyo atakae weza vyote
 
Afu respect others thought bro most of the works anatumia machines wtf mnakwaza
Unakwazwa kuambiwa ukweli?? Basi andika hapo juu kwenye uzi kwamba most of kazi anatumia machine. Tatizo umeandika majukumu/ demand nyingi sana ndio maana unaona wengi wapo opposite na wewe.

Tena usifurahie anayekuunga mkono kwamba wadada wa kazi wanalipwa 50k jua hao wengi wanatoka vijijini na akifika most of kazi inabidi aanze kufundishwa, kupika wanakuwa hawajui inabidi umfundishe bado kupanga nyumba unamfundisha. Vipi kutaka anayejua kila kitu? Naongea kwa experience ya wadada mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…