Nahitaji Critical Thinking hapa tafadhali

Nahitaji Critical Thinking hapa tafadhali

Mama Kanumba yupo Dar zamani sana hata kabla ya Kanumba kuwa maarufu alienda kwenye msiba Bukoba wakati mwanae anafariki usipotoshe
Wala sipotoshi na wala sina sababu hiyo, na hata wewe kama ni msomi wa biblia huwezi kuona biblia ikijisumbuwa kumuongelea bikira maria maisha yake baada ya Yesu na alizaa watoto wengine kwenye tumbo lake.

Vivyo hivyo kwangu Matola sina sababu ya kumjuwa mama yake Kanumba kwanza siyo Celeb na tumemjuwa baada ya taarifa za msiba wa Kanumba, na hata huyo Kanumba kabla ya kumuona kwenye uigizaji sina interest ya kujuwa ametoka wapi.

Kama kwako kujuwa background ya mama Kanumba ni credit kwako take it all, goli tatu bila na point tatu.
 
Wapi nimesema ni credit?sasa kama ulikua haujui background ya mtu unayemuona hana umuhimu kwa nini ulitaka kuaminisha watu vinginevyo?Acha uzushi
 
Niko upande wa Lulu.
Mahakama ya kichwa changu. Haijapata uthibitisho. Lulu anahusika vipi na kifo cha kanumba.
Angetumia zana yoyote. Mfano kisu, panga, nyundo n. K. Hapo ningesema sawa.
MAHAKAMA HAINA MAKOSA. hakuna wa kulaumiwa.
Ni sehemu ya maisha yetu.
OMBA YASIKUKUTE.

Alipelekea kifo! Usiku ule binti mdogo alifwata nini kwa Kanumba na kupokea simu kutoka kwa mtu mwingine
Niko upande wa Lulu.
Mahakama ya kichwa changu. Haijapata uthibitisho. Lulu anahusika vipi na kifo cha kanumba.
Angetumia zana yoyote. Mfano kisu, panga, nyundo n. K. Hapo ningesema sawa.
MAHAKAMA HAINA MAKOSA. hakuna wa kulaumiwa.
Ni sehemu ya maisha yetu.
OMBA YASIKUKUTE.
Kuuwa ni kuuwa tu haijalishi umeuwaje!!! tabia mbaya ni tabia mbaya tu haijalishi unaifanya kwa mtindo upi!!! udogo wa miaka sio gigezo hata siku moja 18 is just a number!!! mtoto mdogo usiku wa manane unakwenda kwa watu kutafuta nini!!! Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengo!!! usitetee ujinga hata kama aliyeufanya ni mtu wako wa karibu kiasi gani!!! ujinga ni ujinga tu..

Kweli mkuu,usiku ule angetulia nyumbani ukute haya yote yasingemkuta Kanumba.
 
Alichoniacha hoi huyo mama ati anaishukuru serikali ya awamu ya tano, haya ni mauzauza matupu hajui hata muhimili wa mahakama ni nini.

Huyu mama kwa mara ya kwanza nilimsikia amekuja kwenye msiba wa Kanumba Dar na mpaka leo amezamia Dar na hana hata mpango na mzazi mwenzanke Baba Kanumba na amejipa haki zote za urithi wa marehemu, huyu mama ni sehemu ya mashetani tunaoishi nao humu duniani wakiwa na maumbo ya binadamu.

Since day one, tulipopata taarifa za kifo cha Kanumba hapa JF mpaka leo msimamo wangu juu ya Kanumba haujawahi kuyumba wala kubadilika, kwangu Kanumba alikuwa ni mbakaji tu na wala si vinginevyo.

Mungu amuweke anapostahili.
afu watu wanamsahau mbakaji mwingine ..Ali Kiba
 
hapa fafanua dada.. mimi umeniacha gizani kabisa hata sijui hili jambo likoje...
Uhusiano mzuri ni ule wa hi na bye, Lulu alipotoka jela alianza kushinda na mama Kanumba mwisho waliishia jukwaruzana na kuitana majina.
 
.
Since day one, tulipopata taarifa za kifo cha Kanumba hapa JF mpaka leo msimamo wangu juu ya Kanumba haujawahi kuyumba wala kubadilika, kwangu Kanumba alikuwa ni mbakaji tu na wala si vinginevyo.

Mungu amuweke anapostahili.
Tuko pamoja mkuu! Ila mimi nilienda mbele kidogo, Hata Lulu nilikiona ni kitoto kitukutu kisichosikiliza wazee wake,kilicho kububu umalaya bila kujali umri wake. kilichompata leo Lulu kimenikumbusha msemo wa Wahenga! Asiesikia la Mkuu huvunjika guu. Wacha ulimwwngu umfunze.
 
Umeandika vizuri kwasababu pia inavyoonesha mbali na watu wana blame wazaz malez hayakuwa bora kwa mtoto.lakin bado marehem kanumba AME play part kubwa ya kuliwasha gari na kuliharibu.sio mtaalam sana wa sheria.wajuz wanaweza tueleza haki za lulu zikoje ikiwa marehem alikuwa anatoka nae katika umri mdogo ?!
 
Principles of Critical Thinking:

1. Gather complete information.

2. Understand and define all terms.

3. Question the methods by which the facts are derived.

4. Question the conclusions.

5. Look for hidden assumptions and biases.

6. Question the source of facts.

7. Don’t expect all of the answers.

8. Examine the big picture.

9. Examine multiple cause and effect.

10. Watch for thought stoppers.

11. Understand your own biases and values
 
Still haujui hesabu hata huo mwaka na miezi minne sio 1/3 ya miaka miwili!hiyo ni 2/3 mbumbumbu

Kubali wewe ni mtupu wa namba haya rudi uka edit!unabana pua kabisa eti 1/3 ya 2 years ni mwaka na miezi minne
Shuleni watu wasiojuwa lolote ambao wanategemea kudesa mwalimu alikuwa akiwaita mbele ubaoni na kuwakabidhi chaki na kumuamuru mwanafunzi yule mdesaji alifundishe darasa zima jinsi alivyokokotowa na kupata jibu.

Kwahivyo mkuu basi kwa heshima na taadhima naomba utufundishe sisi tusiojuwa hesabu formula uliyotumia kupata jibu hilo.

Haya mkubwa tiririka tunasubili utilio.
 
Hayo ni yale yaliyoonekana au kusemwa bayana kwa namna moja au nyingine ila hatujui lulu na familia yake walikuwa wanamwonyesha matendo au maneno gani mama kanumba. Upande wa pili wenye nguvu zaidi naweza kusema ni ule utetezi wa lulu,kama mtu anakana kosa na ilihali mama kanumba ana hisia kuwa ni lulu alihusika kimazingira kuua basi ni hulka ya binadamu wengi kutaka kupata ukweli ili kujua nani ni muongo na nani mkweli. Hili ndio linapelekea mtu kutabasamu pale ushindi unapokuwa upande wake hata kama ni mwembamba...!!! Ikumbukwe pia kuwa jamhuri ndio ilimshitaki lulu....Tusisahau pia katika maisha kujivika koti la kuwa mtendewa na kuona kiuhalisia ungefanyaje!!!
 
Shuleni watu wasiojuwa lolote ambao wanategemea kudesa mwalimu alikuwa akiwaita mbele ubaoni na kuwakabidhi chaki na kumuamuru mwanafunzi yule mdesaji alifundishe darasa zima jinsi alivyokokotowa na kupata jibu.

Kwahivyo mkuu basi kwa heshima na taadhima naomba utufundishe sisi tusiojuwa hesabu formula uliyotumia kupata jibu hilo.

Haya mkubwa tiririka tunasubili utilio.
Mwaka mmoja miezi 12;so miaka miwili ni miezi 24;kwa hiyo tutusa 1/3 ya miezi24 ni sawa na 24/3=8 so Mbumbumbu 1/3 ya miaka 2 ni miezi 8 ila kilaza 2/3 ya 24 ni (24×2)÷3=16 ambayo ni sawa na 12+4 au mwaka na miezi 4!nimependa ulivyotaka kujua kiujanja;una bahati huduma kama hizi wenzio wanalipia wewe debe tupu
 
Back
Top Bottom