Form six hapo soma udereva wiki 6 ili upate leseni class C then omba kazi unapata Madereva wako wengi mtaani tatizo vyeti vya secondary ndiyo tatizo kwa hiyo hata ukiwa form four tuu rahisi kupata tena Utumishi wanatoa sana ajira za madereva
yeye kasema hana leseni ya udereva,
class c kwasasa mamlaka zinataka aanze na D kwamiaka mitatu, ndipo aende E nayo adumu nayo miaka mitatu ndo atafute C
yeye kasema hana leseni ya udereva,
class c kwasasa mamlaka zinataka aanze na D kwamiaka mitatu, ndipo aende E nayo adumu nayo miaka mitatu ndo atafute C