Hutaki mwanamke? Yaani wee kukumbukwa hadi awe mwanamme?
Mie natafuta wa kwenda naye movie, jinsia yeyote, my treat.
nitafute
hahahah! upweke ni janga!
Hutaki mwanamke? Yaani wee kukumbukwa hadi awe mwanamme?
Mie natafuta wa kwenda naye movie, jinsia yeyote, my treat.
Weee, huu urafiki na profesa wa migegedo wakati mie sijavunja hata sinia naogopa.
Fast furious 6 inakuhusu. Naomba nikusindikize, ntachangia popcorn ila ujue nnaingia na kahawa yangu. Tunaficha kwenye pochi...
haha usiogope wee twende alafu nitakufundisha kamchezo huko cinema
vipi,umefanikiwa kupata company?
Jamani weekend ndo hiyoo.mpaka sasa sijakumbukwa na mtu,naomba mwanaume yeyote mwenye tatizo kama langu anitafute[/QUOTE
leo umechelewa jenu week end ijayo nistue ijumaa jioni!
Weee, huu urafiki na profesa wa migegedo wakati mie sijavunja hata sinia naogopa.
Jamani weekend ndo hiyoo.mpaka sasa sijakumbukwa na mtu,naomba mwanaume yeyote mwenye tatizo kama langu anitafute
mzabzab huna msumari wa kutobolea sinia?
mzabzab huna msumari wa kutobolea sinia?
ana kapisto, kanafyatua badala ya kutoboa
si bora kapisto! Ana kabamia