Biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria Mwanza

paultorenza

New Member
Joined
Nov 13, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Wakuu Habari za leo.

Nahitaji kuanza biashara ya dagaa hasa kutoka mwanza,nachoomba msaada najua wapo wanaorun hii biashara tangia muda mrefu,Naomba connection ya watu nijaribu kuchukua uzo3fu sababu mimi ndo naanza sina experience yeyote.

Mtu yeyote ambaye anafanya hii biashara naomba tu msaada wa mawasiliano.
 
Nenda ziwan upate full info
 
Back
Top Bottom