nahitaji company leo

nahitaji company leo

Mwaka huu utaondoka na wengi...ole wenu wanaume wapenda magumegume!!!
 
Jamani weekend ndo hiyoo.mpaka sasa sijakumbukwa na mtu,naomba mwanaume yeyote mwenye tatizo kama langu anitafute

Unatatizo gani?.....haya ni PM tu-share ilo tatizo, satisfication guaranteed!
 
biashara matangazo

Hahahah bora umekiri aisee...maana nakumbuka ulianza kwa streteji nzuri kwa kumtafuta jamaa yako yuleeee aliyeoa.
Watu wakakuhurumia wee kumbe muvi ndio kwanza lilikuwa linaanza...enewei hongera sana kwa kipaji ulichonacho nitakuweka kwenye kitengo cha marketing hapa ofisini kwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom