Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka,nahitaji chumba single self.
Bajeti yangu ni 50k hadi 120k.
Ikipatikana haya maeneo itakuwa vizuri zaidi:
Town/mjini, rau, kcmc hadi kule ushirika wa neema....
Au kama kuna mtu mwenye kufahamu kama kuna nyumba za shirika la nyumba la taifa, NHC moshi na utaratibu wa upatikanaji wa vyumba vyao nitashukuru