Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

ROBOTIC-MODE

New Member
Joined
Sep 14, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Hello Members wa JF...

Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi, mashambani, bustani, supermarket au sehem yeyote rafiki.

Kwa agent ambaye anahusika anitafute inbox au call/WhatsApp +255 687412131
(Ili kupata taarifa zangu zingine)
 
Nenda TAESA ipo Jirani na Chuo Cha DIT posta dar es salaam.
 
Wapo ma agent ila kazi zilizopo ni wanawake kwa sana za wanaume zinakuwaga chache
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom