October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Kipindi hiki ninahitaji pesa sana za kuniwesha kukamilisha niliyoyapanga.
Nahitaji Deal/Mchongo wowote wa muda mchache utaonipa Minimum ya hata 70,000/= huu hata ukichukua week mzima kukamilika.
Aliye na Connection na Mishe anijuze huwenda hicho kihasi kikaenda badili Economic Status yangu for years later.