Nahitaji 70,000/= kwasasa

Nahitaji 70,000/= kwasasa

Wakuu humu JF,
Tuweni na umoja ili tumchangie Mkuu hapa,
Naanza Mimi nachanga TZS 20,000,

Haya wakuu karibuni kwenye Harambee hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.

You Can Read From That Little Paper Down.
 

Attachments

Mungu akutangulie mkuu, nimesoma mpango wako unatekelezeka wenye kuguswa wakupe suppot yao, wakati mwingine wafanye tu kama wanarudisha kwa jamii.
 
Asante Mkuu, That what am going to do in next weeks with such amount of money.

You Can Read From That Little Paper Down.
Mkuuu cheki vizuri document yako upande wa uandishi umeruka herufi/silabi sana wakati ukiwa unachapa neno
 
Vipi umefanikiwa tayari kupata kazi, apo kiwanda cha kibaha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado Mkuu, ila nimepima nimeona ni vyema kuanza na mpango wa pili kufanya biashara kwa mahesabu yangu unalipa sana kule kiwandani itanihitaji miezi miezi sita(6) ku-save million moja (1M) ila huu mpango mwengine nahitaji mwezi mmoja tu kuSave hiko kihasi, nimeona Bora nianze na business hata mambo yakienda tofauti na nikivyopanga bado nitakuwa na Option ya kurudi kiwandani ila nikianza kiwandani imetoka hiyo mpaka miezi 7 kukamilisha Target.
 
Njoo uchukue lita moja kwa 30 tu vikopo Mia tano tano ukiuza kimoja buku tano thank me later usiwek Bei kubwa sna

Sent using Jamii Forums mobile app
sijaelewa logic behind here
yaan lita1 ambayo ina mls 1000 unamuuzia 30000tsh

bado anunue vikopo 500tsh
je hyo lita moja inaweza toa kopo ngapi ?? na hzo kopo zna ujazo gan?

mana hata tuki assume kila kopo lina mls 350(ujazo wa soda) bado hyo pesa yake haiwez kurud hata senti.......

fafanua vzuri pls

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Bado Mkuu, ila nimepima nimeona ni vyema kuanza na mpango wa pili kufanya biashara kwa mahesabu yangu unalipa sana kule kiwandani itanihitaji miezi miezi sita(6) ku-save million moja (1M) ila huu mpango mwengine nahitaji mwezi mmoja tu kuSave hiko kihasi, nimeona Bora nianze na business hata mambo yakienda tofauti na nikivyopanga bado nitakuwa na Option ya kurudi kiwandani ila nikianza kiwandani imetoka hiyo mpaka miezi 7 kukamilisha Target.
Mkuu tafathari, hebu huo mpango wa biashara u-paste hapa, mimi binafsi natamani sana kuusoma lakini bahati mbaya simu yangu haifungui pdf documents
 
Mkuu tafathari, hebu huo mpango wa biashara u-paste hapa, mimi binafsi natamani sana kuusoma lakini bahati mbaya simu yangu haifungui pdf documents
Never know, labda naweza nikakusapoti.
 
Huyo jamaa achana nae ni mpuuzi mmoja hivi! Alikua mpiga deki wa ontario, kila siku alikuwa anahubiri humu utajiri wa forex leo anaomba 70k?? Achana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
+
Kuandika tu hujui, sasa sijui nani alikuambia utumie kiingereza! Eti feeling station
Ontario anaendeleaje huko mnako-download pesa?

Sent using Jamii Forums mobile app
=
Chuki za nini ndugu yangu utaniuwa bule mimi mwana wa mwenzio.

Bwana Mungu mbariki mjawako huyu siku ya leo.

Amina

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom