Nahisi simpendi mke wangu


Miss chagga, miss chagga miss chaggaaa! Bado hatujasikiliza upande wa pili jamani. Mwambie amlete hapa tusikie pia. Si umesoma heading anahisi hampendi. Maana yeye pia anashida ila ngozi ni kuvutia kwako kwanza ili ubambe vizuri jamani.
 
Miss chagga, miss chagga miss chaggaaa! Bado hatujasikiliza upande wa pili jamani. Mwambie amlete hapa tusikie pia. Si umesoma heading anahisi hampendi. Maana yeye pia anashida ila ngozi ni kuvutia kwako kwanza ili ubambe vizuri jamani.

Hapana jamaa anavyoeleza i can feel it acha tu jaman
 
Hapana jamaa anavyoeleza i can feel it acha tu jaman

Mnuso wangu wa sita unanipa shida kuamini kilicholetwa hapa angalao kwa asilimia fulani. Miaka 10, watoto 3, shida imeanza kabla ya ndoa, ..... sawa! Ana digrii, ametafuta mke wa nyumbani, anakiwanja lkn watagawana nyumba.... sawa! Mbona yote yanamwelekea mwanamke tuuuuuuu? Mbona hausikii kero za upande wa pili. Asimwache bhana aende ampigie magoti aliyomkosea, mbona mke shegga kabisa!
 
watu wengine mpaka yawakute ndo wanajifunza
Yaani huyu jamaa anataka afe kwanza ndo ajifunze...

#Ridiculous
Kaka The Magnificent akifa atajifunzaje?
Unajua cha msingi ni jamaa kufanya maamuzi magumu pasipo kuangalia sijui nani atasema nini kwasababu hao hawajui mambo ambayo anayapitia ndani ya nyumba yake
Huyo mwanamke ana washauri wabaya .amwachie vitu mbona vinatafutika cha maana ni uzima tuu.Apeleke watoto boarding ili kuepusha shida kipindi cha mwanzoni.
 
Last edited by a moderator:
wewe utakuwa shetani, kama sivyo basi unahitaji msaada wa haraka!!!!!!!!!!

uuuupsi kwa kipi labda....ulijuaje mm shetani kama hatupo wote kundi moja

jf kila mtu ana ruhusa ya kutoa maoni
nahitaji msaada wa wewe kupit kushoto na comment zangu
nyoooooo mbio mbio uje kama kimbunga cha india kwenye comment zangu
 

haya ndio madhara ya kufikisha miaka 35 hujaoa huna mtoto na unakaa kwa wazazi......ushauri gani huu wewe kiaz
 
Mi nadhani huyu mshikaji nae ana yake...huyo dada anaweza reveal ya mkuu hapa ukashangaa...red flag #1 :kwa miaka yote 10 hujamuoa,u are wrong na the woman is mad on u about that,definetly,mtu kakuzalia,kakulelea kwa miaka kumi halafu umuoi?aisee lazima achanganyikiwe on that....red flag #2 :dada kalalamika michepuko,obvious utakua unahusika hapa...red flag3#:kuna mambo yapo family related kwa upande wenu,hayo na mke wa kwanza wa dingi yako,na kifo chake,nk,siri wanazijua wao na wewe labda,hapo nako ni another issue....
 

Hivi wewe umeoa ? Kama bado mkuu achana na hayo aisee
 
Mkuu Sangarara, unaweza kupita hapa ukamshauri huyu ndugu!

Hahaha, salama lakini!!!

Anamaanisha kwamba anamchukia mke wake sababu hamridhishi kimapenzi au vipi? Mwanamke anaweza akapoteza mvuto wa kimapenzi kwa mume wake sababu ama hajui mapenzi, au kabadilika tu (why?), au amemuuzi mme wake kwenye mambo mengine sasa mpaka mvuto wa mapenzi umepotea.

Ikifikia hapo, acha tu kumfokea mbele za watu, ni hata kumtandika makofi mbele za watu bila sababu ya msingi inakuwa ni kawaida sana.
 

Elizabeth hukuwa umesoma vizuri andiko langu la kwanza ndiyo maana ukanijia juu namtisha. Lakin suala la ndoa huwezi kulitenganisha na YESU ikiwa nje ya hapo ndiyo hivyo baadaye anaanza kulialia. nilichokuwa najaribu ni kumrejesha kwa mwasisi wa ndoa zote, wewe ukawaunag'ang'ana amwache. hata hivo kama nilikuwa nasingizia basi nilikuwa nasingizia yesu na siyo YESU labda kama huelewi kati ya YESU na yesu na hicho ndiyo kilichokufanya uhamaki
 
Wewe ni mpumbavu kweli!! Miaka kumi??! watoto watatu??! Yaani baada ya kumzeesha ndio umegundua humpendi au?! umejiita msomi wa digrii! Shenzy sana!!
 
haya ndio madhara ya kufikisha miaka 35 hujaoa huna mtoto na unakaa kwa wazazi......ushauri gani huu wewe kiaz

Hahahahaaaa, mi kiazi! Hakyanani umenichekesha sana bhana! Yaani kumbe ushauri mzuri ni kuharibu, haya ngoja nitoe ushauri wa kuharibu ili niwe na miaka 22 afu nimeoa, afu nipo kwangu nimejenga bangaluuu na wazazi wangu wako mbaali kama mwanza na mtwara. miss chagga.
 
Last edited by a moderator:

Ndo na wewe ujiulize hapo akifa atajifunza vipi....

To be honest,huyu mwanamama mwenzenu dawa yake sio kumuacha...nina hakika akimuacha atapata matatizo 5x ya hayo ya sasa......
Dawa yake ni ndogo tu....she has to be killed!! ndiyo,anatakiwa afe! najua kuna watu wataniona katili sana kwa hili ninalolisimamia...but i am sure...asipompoteza huyu mwanamke ipo siku atapotezwa yeye.....after all he can decide....yeye ndo anaweza kuamua mustakabali wa maisha yake......mimi naumia tu kuona jamaa atapotezwa na anatafuta pesa kwa ajili ya kuishi vizuri,end of the day,hatofaidi chochote....to me,killing her will always be the best option....(kulingana na maelezo aliyoyatoa hapa jukwaani mtoa mada,unless kama kuna mengine ya upande wake kayaficha.....)
 

 
uuuupsi kwa kipi labda....ulijuaje mm shetani kama hatupo wote kundi moja

jf kila mtu ana ruhusa ya kutoa maoni
nahitaji msaada wa wewe kupit kushoto na comment zangu
nyoooooo mbio mbio uje kama kimbunga cha india kwenye comment zangu

Mbona unahamak dada??? kwani shetani ni mbaya? kama kweli unaliona hilo kuwa shetani ni mbaya mbona ulimshauri mwenzio kutenda jambo la kishetani na ukawa unadhani unamhari vyema
 
dah.! Watu mnatunga hadithi jamani, lol..
 
Wewe ni mpumbavu kweli!! Miaka kumi??! watoto watatu??! Yaani baada ya kumzeesha ndio umegundua humpendi au?! umejiita msomi wa digrii! Shenzy sana!!

Ninajua kutunza mwanamke, ukikutana nae kama hajabeba watoto utasema ni binti hajazaa. Watu huwa hata hawaamini kama hao watoto kawazaa yeye, angekuwa amechoka angekuwa mtulivu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…