...nahisi nina tabia za kike!

hata watoto tabia hizo wanazo so nothing new
 

We punga nini!
 

Mie nadhani hizo sio tabia za kike...ni tabia za wanadamu (wake kwa waume) walio wengi.Hakuna mtu hata 1 hapa duniaani asiyependa kupendwa....hata jambazi ana udhaifu wake inapofika masula ya malovee.So dont worry,be urself.
 
Cha msingi nikujitambua nakujiwekea mipaka kwa hizo hisia na vtendo vyako, usije ukaomba dume likusaidie kuvunja biskuti alafu ulisifu kaka unamijinguvu!!!.. kama mtu uliye naye anaridhia hali yako ukiwa taabani katka mahaba bas tulia.
 
nakuhesabia tu siku hapa soon utakuja na uzi wa real you
 
Tukusaidieje ssa kama tatzo lako unalijua.tukukumbtie na sisi ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…