Nahisi nina maumbile madogo, naomba msaada wa mawazo

Ngoja nikupe live story kaka hiyo mb n ya kutosha kabisa maana hata wachina wanavyo 3.7 hadi 4.2 na ndio wamezaliana duniani kuliko nchi zote na usidhani mboo kuingia ndani sana ya k ndio kumweza mwanamke ila utamu wake upo hapo nje juu juu ni sawa na wewe unasisimka akikunyonya kichwani ila sio kwenye shina maana utamu upo hapo juu sasa usiwaze kuwa nayo ndefu ndio kumdatisha mwanamke noo kuna wanawake wengine wakiona kubwa hawataki kusex mm nilikosaga mwanadada mmoja hv dah acha tu kk alishaingia mpaka room tukaanza kuvuana nguo nk ila alipokuja tu kuuona mdudu akaanza kuvaa nguo nikashangaa kulikoni? Akasema anapenda kizazi chake nikambembelezaaaaa sana sn mpaka nikataka kumpa hata hela akakataa niliumia mpaka kesho so usijali hiyo n saizi kubwa sana Sisi wanaume tunashindwa kujua kwamba k ina kazi mbili moja ya kupitishia mtoto ya pili kuingizia mbegu sasa ukitaka kuwa nalo likubwa usidhani utamkomoa maana anazaa mtoto mwenye kilo 3hadi 4 wewe hiyo kitu hata iwe ndefu na nene inaweza kufika kilo nne?????
 
Nilimsikia mandingo kama unamjua akiongea kwamba pamoja na mb.. yake kuwa kubwa ila alikutana na dada mmoja wa mexico aliumeza mdudu wote na akampa na nyuma ndipo jamaa akaona wanawake sio kitu sasa wewe unadhani ukiwa nayo kubwa ndio utawaweza? Kuna wanawake wengine wanaingiza chupa ya bia na inapotelea sasa ndugu yangu unatakaje
 
Mimi ninayo 7.8 inchi na nikitaka kugegeda mwanamke ambaye naona kama atanizidi nguvu naanza kujiandaaa sana kwa staili chakula maneno nk sasa akija kuingia room namgegeda mwanzo mwisho na analia kabisa utamu umemzidi anapagawa kitandani so kaka jitahidi kugegeda muda mrefu atakusaluti tu
 
kk karibu, mkuu kwan inchi 6 iko kwenye kundi gan c kibamia ama?
6' can satisfy any woman on planet earth, unless huwezi kuitumia au husimamishi. Mambo ya bamia au mandingo ni fallacies zisizo na mashiko.
 
Mambo ya Vibamia yamekuja kuua ujasiri wa Vijana wengi sana aseee.....Kweli utandawazi umetuletea changamoto nyingi sana kwenye mahusiano....kule kujiamini tena hakupo......
 
duh!! inch 6 hiyo ni sawa na cm 15 ambayo ni nusu ya rula umetisha broo

Bac ww hyo unayoitaka iwe vipi?? au uwe na sifa na kutoa mabinti utumbo??
 
Kwanza jiamni kua wewe ni mwanamme,na kumbuka ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, unaweza ukawa na ndogo sana lakini ukajua matumizi yake na ukawa na kubwa kama ya Punda watu wakabakia kusema umepewa meno umenyimwa nyama,chakufanya hakikisha mwanamke wako/mkeo umemtayarisha ipasavyo na veyngine mbwembwe tuu,na jaribu kua na mwanamke mmoja utulie nae...
Nimpendenani sasa naanza kupata mshawasha na wewe mamii,yaani unafanya napata mzuka mpaka nakua taabani mamii,sijui unanisaidiaje lakini?
 
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.

Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.

Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.

SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.
pole mkuu ..unaniukumbusha MBALI NILIWAHI DATE NA JAMAA WA AINA YAKO BORA YAKO INASIMAMA YAKWAKE ILIKUWA HAISIMAMI KADOGO MPAKA NIKASHANGAA ..NILKAMUULIZA IVI WEW NI MZIMA KWELI...ALICHONIJIBU NAOMBA TULALE KESHO PAKUCHE...POLE MWAYA ILA UKIITUMIA KIUFUNDI HAKUNA TATIZO...
 
mhh, Asante kwa ushauri mdada
 
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.

Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.

Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.

SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.

Uume nchi 6 haaaa unaijua nchi sita wewe? Au ulimaanisha cm 6?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom