BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 633
- 864
ni kweli hii ni circumference(mzunguko) na sio diameter(kipenyo) baadhi ya watu wana confusemzunguko sio diameter mkuu
ni kweli hii ni circumference(mzunguko) na sio diameter(kipenyo) baadhi ya watu wana confusemzunguko sio diameter mkuu
Wanakudanganya tu wala hawaumiiduh! nashangaa,wakati mimi ndo nawachapa sana tu mpaka wanalalamika kuumia wakati nna kibamia
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.
Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.
Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.
SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.
Hilo ndo la maanaWewe jiamini na ulichopewa mtafute ambae anaridhika na wewe sio kila mtu anapenda mguu wa mtoto
Acha uongo... chukua uzi alafu pima urefu wa mashine yako. Alafu urefu huo zungusha kwenye uume wako... nakusaidia kulinganisha kati unene na urefu. Lete majibu hapa. Unene wa mashine yangu unalingana na urefu... kwa maana hiyo mashine ya mtoa uzi ni nyembamba.Masikhara haya, una uume wenye unene wa inch 4.9? Hii ni size ya mabomba yanayotumika kujenga mfumo wa maji machafu kuelekea kwenye lile shimo kubwa.
Sio diameter ni circumference.Teeh inaweza kusaidia pia...
Kweli counseling is needed hereMavideo ya ngono yamekuharibu ww
jamani
hebu njoo nikuone
maana ni kweli kabisa tatizo limekuathiri kisaikolojia
Polee Sana endelea kujistressisha,jipe stress za kutosha had itafka SKU utajua maisha sio MB tu!! Unaweza ukaish hata usipokuwa nayo!!Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.
Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.
Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.
SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.
samahani wewe KE au ME?Wanakudanganya tu wala hawaumii