Nahisi nina maumbile madogo, naomba msaada wa mawazo

mkuu nimekuwa busy sana kuwaza maisha sabab ya hii kitu ila shida nnayopata hasa kazin ndo taabu bro mpaka nachukiwa na baadh ya niliowapotezea ahad zao sina amani

Kwani ni lazima uwekeane nao ahadi?
 
Wewe umezaliwa kwa maksudi hiyo Saizi ili uwe padri.
Mapenzi unalazmishia tu.

Nakushauri uje ukasomee upadri
 
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.

Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.

Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.

SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.
Duuh hii dunia bwana siielewi mwanamke akiwa na maumbile madogo wanaume wanamkimbilia, mwanamke akiwa na maumbile makubwa wanaume wanamkimbia, kiboko sasa mwanaume akiwa na maumbile madogo wanawake wanamkimbia, ila akijaaliwa makubwa tuu wanawake wanamkimbilia, hii ni world of vice versa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom