kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 644
Inchi 6 ina udogo gani. Acha kuzuga watu
Huyu kaja kujisifia hana lolote
Inchi 6 ina udogo gani. Acha kuzuga watu
6' can satisfy any woman on planet earth, unless huwezi kuitumia au husimamishi. Mambo ya bamia au mandingo ni fallacies zisizo na mashiko.kk karibu, mkuu kwan inchi 6 iko kwenye kundi gan c kibamia ama?
Anataka foot moja... cm 30duh!! inch 6 hiyo ni sawa na cm 15 ambayo ni nusu ya rula umetisha broo
Bac ww hyo unayoitaka iwe vipi?? au uwe na sifa na kutoa mabinti utumbo??
Nimpendenani sasa naanza kupata mshawasha na wewe mamii,yaani unafanya napata mzuka mpaka nakua taabani mamii,sijui unanisaidiaje lakini?Kwanza jiamni kua wewe ni mwanamme,na kumbuka ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, unaweza ukawa na ndogo sana lakini ukajua matumizi yake na ukawa na kubwa kama ya Punda watu wakabakia kusema umepewa meno umenyimwa nyama,chakufanya hakikisha mwanamke wako/mkeo umemtayarisha ipasavyo na veyngine mbwembwe tuu,na jaribu kua na mwanamke mmoja utulie nae...
pole mkuu ..unaniukumbusha MBALI NILIWAHI DATE NA JAMAA WA AINA YAKO BORA YAKO INASIMAMA YAKWAKE ILIKUWA HAISIMAMI KADOGO MPAKA NIKASHANGAA ..NILKAMUULIZA IVI WEW NI MZIMA KWELI...ALICHONIJIBU NAOMBA TULALE KESHO PAKUCHE...POLE MWAYA ILA UKIITUMIA KIUFUNDI HAKUNA TATIZO...Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.
Namshukuru Mungu nimejaaliwa kazi, so wanawake haiwi ngumu sana kuwapata japo huwa sipendi kuwa karibu nao kuhofia endapo itatokea nikatembea naye najua siri itatoka nina uume wa kama inch 6 urefu, na 4.9 unene.
Sijawahi kujiamini hata siku moja japo kwenye mitandao nikijaribu kuangalia wanadai 5.1'' ndo standard lakin sidhan kama hapa Tz kama ndo average maana... duu, toka tukiwa tunasoma tulikuwa tunaoga pamoja bafun na friends wote walikuwa na kubwa kuliko yangu. Nadhani hofu yangu ndipo ilipoanzia na wapo waliwah kuniambia kabisa kuwa nina mb** ndogo.
SINA FURAHA YA MAISHA KABISA NDUGU ZANGUNI. Naombeni USHAURI WENU MAANA NIPO KWENYE WAKATI MGUM SANA. NIPO SERIOUS.
mhh, Asante kwa ushauri mdadapole mkuu ..unaniukumbusha MBALI NILIWAHI DATE NA JAMAA WA AINA YAKO BORA YAKO INASIMAMA YAKWAKE ILIKUWA HAISIMAMI KADOGO MPAKA NIKASHANGAA ..NILKAMUULIZA IVI WEW NI MZIMA KWELI...ALICHONIJIBU NAOMBA TULALE KESHO PAKUCHE...POLE MWAYA ILA UKIITUMIA KIUFUNDI HAKUNA TATIZO...
mhh, Asante kwa ushauri mdada
Katembea kwenda nao wapi? Sokoni??Hao uliotembea nao wamekupa mrejesho gani kuhusiana na MB yako?
Jamani mwenzenu umri wangu ni 24yr, tatizo langu nina uume mdogo ninavyojua mimi, mpaka nahisi nimepata matatizo ya kisaikolojia maana muda mwingi huwa napata mawazo san pale ninapokubaliwa na mwanamke.