Nahisi nina matatizo

strawberry1

Member
May 7, 2011
35
6
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
 
Nafikiri hilo ndio jibu
 
unayo matatizo tena makubwa sana,yani siamini kabisa kama kusoma hujui hata picha huoni?pole weeeeeeeeeee
 
Unahitaji ushauri NASAHA! Nenda kwa wachungangaji au wataalamu wa mambo hayo watakusaidia!
 
Kinachotisha hapo sas ni nini? bf for 6yrs? tena ndiyo ungetakiwa uhakikishe ndoa inafungwa we tena unaogopa?
 
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?
Halafu kama unaogopa kuingia katika mahusiano ya ndoa haya mahusiano uliyonayo sasa hivi na huyo mwenzako hauyaogopi??
 
Strawberry1
Kuogopa ndoa doesnt necessarily mean una matatizo. It could be that, you are not ready for that level of commitment yet, or it can also be just the usual fear of the unknown!!!?
 
Hauko tayari bibie ukiwa tayari utaitafuta mwenyewe and i hope he will be there waiting for you!
 
kwanza napenda kukupongeza kwa kuwa muwazi;;endelea kuakaa hivyo mpaka utakapopata soln..ni ukae hivyo uje kupata utakaekuwa nae na amani kuliko hii mindoa ya sikuhizi miezi miwili vikao mara sita saba vikao tena vya nini??kaa vizuri tafuta soln..kwa msaada zaidi cont denismandia@yahoo.com ila cha kukupa moyo aijalishi mapito unayopitia muda utakaotumia Yupo Mume wako kutoka kwa Mungu anakusubiri ni wewe kuwa karibu na Mungu na jinsi gan ya kumtumikia akupe mume mwema
 
Nisaidien jamani, mwenzenu naogopa sana kuingia ktk mahusiano ya kindoa. Ninaye BF na tuko kwa r/ship for 6 yrs now, ila kila nkifikiria kuwa one day ntatakiwa niwe na ndoa naogopa sana. Au nina matatizo?

Unahitaji kuwaona watu wenye heshima kwa ushauri zaidi, viongozi wa dini au wanasaikolojia.

Ina maana muda wote unamzungusha huyo BF, bila kumwambia ukweli kwamba unaogopa?
Pia inawezekana una-negative au bad attitude ya ndoa..Jaribu kupitia pitia vitabu na makala kuhusu 'raha ya ndoa'
 
mh,..kuna kitu huyo mme wako wa mda
kakuonjesha na katika hilo hua ana kuumiza kiasi kwamba
hutaki kuwa kuingia kwenye ulingo wa wajibu wa mke kwa mume,...

Pole,ili utamani kuolewa jaribu variety ingine ya naniii,labda kakukinai
 
Back
Top Bottom