Nahisi nimeshapigwa ebay baada ya kufanya manunuzi

b0bd301c5b92cd00181542502123449a.jpg
80e0f6480aced9ee62dcb06073cd20ea.jpg
df4b0050baf5a1d2a99f165f1433c759.jpg

What am seeing from your vendor, is one amongst reliable vendors,has high percentage rate feedback...you can be patient with him... Jaribu kumkumbusha hujapata mzigo often
 
Mkuu umefanya haraka mno kama ulitumia standard international shiping ni vyema ungekuwa na subira kwa muda wa siku 31 ndio uanze malalamiko. Sellers wakiona wateja kutoka nchi fulani ni walalamishi sana huwa wanaacha kuuza na kutuma mizigo kutoka nchi husika. Wauzaji wengi hawatumi mizigo Nigeria kwasababu wanunuzi walikuwa matapeli sana. Anyway tuwe tunavuta subira ata least 31 days kutegemeana na shiping method inayotumika.
Halafu ifahamike pia kuwa kuna buyer rating, wauzaji wakikupa rating ndogo ujue nawewe utashindwa kununua coz wauzaji hawatakuamini kutokana na feedback yako kuwa ndogo. Ni ushauri tu mkuu.

Ushauri mzuri mkuu,ila nafikiri kwa hesabu ya haraka haraka kuanzia tar 21 March 2016 had tar 10 May nilipoamua kuomba refund ni zaidi ya hizo siku 31 unazozisema.Na kawaida ya international std shipping Protection cover ipo ndani ya siku 60 kwa maana hiyo ilikuwa bado wiki na nusu kumalizika huo muda.
Na hadi hivi sasa the item is no where to be seen.Silalamiki kama unavosema,mara nyingine we need to place ourselves on the safer side before loosing it all.
 
Mi nimenunua kipuri cha gari wiki iliopita,na nikachagua free shipping,sijui utafikaa maana!

kaka ukichagua free shipping inamaanisha muuzaj anachagua akitumie kwa njia gan na wengi wao kama sio wote wanachagua the cheapest which is via postal .. so ukubal kukaa mwez mzima ama
zaid kusubir hicho
kifaa.. tatizo
postal yetu upande wa
vifurush aidha wachelewe kukutaarifu ama wasikutaarifu kabisa mzigo upotee mm nilinunua saa seiko five nikachagua free shipping mwez ulipita sikuipata nika complain ebay wakampa siku saba muuzaj ahakikishe napata muuzaj akasema mbona postal ya kwao wanasema
mzigo ushafika bongo nikwambia mi sijaupata akaniomba ndan ya siku tatu kama sijaupata atarudisha pesa siku ya tatu postal wananiletea
eti notification ya tatu as if walishatuma hizo mbil za kwanza inaana kama sijarespond wanarudisha ndo nikaenda kuchukua nikamwambia muuzaj nimepata mpaka sasa hv nachagua free shipping kwa vitu ambavyo i can torolate kusubir mwez mzima na shida ni kuwa postal hawana tracking number u have to pray for their unbiased action and kindness
 
Samahani mkuu unaweza ukaniagizia kioo cha iphone 5s kutoka huko duniani.....?? Inaweza kugharimu kiasi gani hadi kikifika hapa...??
25e5a1521804f7716a106840117bf3af.jpg

ngoja nichek price by the way iphone 5 yangu nimeinunua last year huko huko dunian used kutoka kwa mtu ilikuja ikiwa locked ikabid nilipie online kui unlock ndo natumia had leo
 
Ok Mkuu ngoja nisubiri hayo masaa ila mimi ngoja nimpe 72 kabisa

vifuatavyo ni vitu ambavyo nimenunua amazon na ebay kwa miaka mi nne iliopita

1. new brand. original seiko five vintage usd 80 Shipping incl
2. kindle ink e reader wireless (nimeiuza) usd 130 shipping incl
3. full rain suite for motorcyle usd 50 shipping incl
4. kindle fire hdx 7" usd 280 shipping incl

5. kindle fire hdx 7" usd 280 usd incl
6. htc sikumbuk model usd 300
7. covers for kindle and htc usd 30
8. ear phone sony usd 50
9. ear phone sony usd 60
10. phone bluetooth device 40
11. phone bluetooth device 30
12 car seat covers 250
13. hdx kindle fire 7" 320
14 gold wedding ring
16 gold neckless
17 gold plated engagement ring
18 phone cover for samsung galaxy six plus
20. key holder for subaru legacy
21 key holder for ist and rv4
22. power bank (iliibiwa)
23 power bank mpya baada ya kuibiwa
24. car cigarette lighter usb charger

duh vingine nimesahau mpaka niangalie kwenye accuntz zangu

NB: amazon nawalipa mojakwa moja ila ebay pamoja na individual vendors nawalipa kupitia paypal no paypal no business
 
Mkuu Dola 13 umeshachanganyikiwa, je ungetuma 7000$? Tulia utapata mzigo wako.
 
ngoja nichek price by the way iphone 5 yangu nimeinunua last year huko huko dunian used kutoka kwa mtu ilikuja ikiwa locked ikabid nilipie online kui unlock ndo natumia had leo

Ok fanya hivyo basi mkuu....
 
kwa hiyo jackline wataka uniambie kama ni tapeli ebay watahusika kumsaka huyo mtu? na pia hela yangu nitarudishiwa?? nahitaji nifahamu ebay ni akina nani na makazi yao ni wapi. ili niwe najiachia nijimwage tuu.
EBAY ni middleman anawaunganisha wanunuzi na wauzaji yeye ni kama mtu wa kati ambaye anaaminika na benki zote-ukitaka kuuza kitu unajiandikisha kwake na benki yako unamtajia,sasa yeye anauwezo na ikiwezekana ana toa hela katika hiyo account na kuirudisha hapo hapo kuhakikisha ni yako vilvile na email yako anaihakiki,akishapata vitu viwili hivyo huku duniani huwezi kuchomoka hapo ukileta ujanja unastukia summons mahakamani-huku tunaishi dunia ya mikopo-sasa mahakama ikikuweka katika record zake utakwama sana cause sio muaminifu-hakuna mtu mwenye akili zake anayeweza risk hiyo kitu kwa hela ya kawaida
 
Mimi kinachonitia wasiwasi huyu muuzaji wangu harespond message zangu tofauti na sms ya kwanza aliyonijibu ya muda wa mzigo kufika na kwamba anashughulikia tracking number mpaka leo hajibu chochote nikimuuliza, maana mzigo alisema utatumwa siku moja baada ya kufanya malipo lakini mpaka sasa haujawa shipped sasa hapo lazima utie wasi wanajf. Tatizo ni mzigo hajatuma toka tarehe 11 siku niliyofanya malipo mpaka leo
 
Lolote litakalotokea baada ya muda unalalamika Ebay-hawa Ebay wanarudisha hela yako-huyu muuzaji wanamuondoa Ebay-wengi wa hawa wauzaji wanategemea Ebay kuishi-sasa huyu kashajitengenezea reputation nzuri alaafu haipoteze karahisi ni ngumu
 
Mimi kinachonitia wasiwasi huyu muuzaji wangu harespond message zangu tofauti na sms ya kwanza aliyonijibu ya muda wa mzigo kufika na kwamba anashughulikia tracking number mpaka leo hajibu chochote nikimuuliza, maana mzigo alisema utatumwa siku moja baada ya kufanya malipo lakini mpaka sasa haujawa shipped sasa hapo lazima utie wasi wanajf. Tatizo ni mzigo hajatuma toka tarehe 11 siku niliyofanya malipo mpaka leo
Mkuu ondoa hofu anahudumia maelfu ya wateja duniani kote sio lazima akujibu papo kwa papo. Sisi tunaokwambia uvute subira ni wanunuaji wazoefu wa bidhaa mitandaoni tunajua unachozungumza.
 
EBAY ni middleman anawaunganisha wanunuzi na wauzaji yeye ni kama mtu wa kati ambaye anaaminika na benki zote-ukitaka kuuza kitu unajiandikisha kwake na benki yako unamtajia,sasa yeye anauwezo na ikiwezekana ana toa hela katika hiyo account na kuirudisha hapo hapo kuhakikisha ni yako vilvile na email yako anaihakiki,akishapata vitu viwili hivyo huku duniani huwezi kuchomoka hapo ukileta ujanja unastukia summons mahakamani-huku tunaishi dunia ya mikopo-sasa mahakama ikikuweka katika record zake utakwama sana cause sio muaminifu-hakuna mtu mwenye akili zake anayeweza risk hiyo kitu kwa hela ya kawaida
nimekupata mama.
 
Mkuu ondoa hofu anahudumia maelfu ya wateja duniani kote sio lazima akujibu papo kwa papo. Sisi tunaokwambia uvute subira ni wanunuaji wazoefu wa bidhaa mitandaoni tunajua unachozungumza.
Haswa-jamaa anahudumia globally-anakuwa tight na pengine hiyo ni side job
 
Kuna thread kibao zilishawekwa humu jins ya kufanya manunuzi Ebay, ila kwa faida ya wengine nitarudia kwa kifupi ambavyo mimi natumia / naelewa, naamin wengine wataongezea kutokana na uzoefu wao.

kwanza kabisa kun online retails site kibao tofaut tofauti mfano Alibaba, Ebay , Amazon, Wadi na hata siku hiz bongo tuna Kyamu, anyway ziko nying ila utofauti unakuja na utendaj wao. ndo maana unakuta Alibaba wanamrejesho mbaya kutoka kwa
wateja hasa wa nje ya china maana mfumo wao kuthibit matapel ujo weak na wala hawako makin kushughulikia matatizo ya wateja kutapeliwa.. Alibaba inafanya vizur china sababu mtu akinunua anakipa kwa stail ya cash on delivery so hapo tapel hawez kumpiga maana kama utanunua onoine usishangae kutumiwa nokia toch wakat umenunua iphone ama isitumwe kabisa hapa nitazungumia kuhusu Ebay na Amazon ambao nina experience nao wa miaka zaid ya mi nne

kwa kifupi online retails nying zina act as a middle man kati ya muuzaj na mnunuaji, kuna online shops chache ambazo pia zinauza product wanazotengeneza wao wenyewe mathalan Amazon. ambao pamoja na kuwa kama mtu wa kat lakin pia wanauza baadh ya product wanazotengeneza wenyewe kama vile Amazon TV, Amazon Tablet, Amazon E reader maarufu kwa jina la kindle , Amazon Phone inaitwa fire na vitu vingine vingi, lakin pia wanaruhusu watu kuuza bidhaa zao mpya ama used kupitia mtandao wao,

Ebay wao hawana bidhaa wanazotengeneza ila wanaruhusu muuzaj kuweza kutangaza na kuuza vitu kwenye webiste yao kwa malipo ya ada kidogo,

Ebay wanatumia Paypal katika swala la malipo ( ebay na paypal walikuwa kampuni moja ila ss hv wamesplit kwa sababu za kibiashara lakin bado ni sisters companies)

Amazon wao wanamfumo wao pia wa malipo

Muuzaj na Mununuaj wote wanatakiwa kuwa na Account kwenye hizi online shoopings website wakiweka details zao zote kuanzia physical Address had jinsi watakavyofanya malipo, kwenye malipo ni lazima ulipe kwa kutumia Credit card ya Master card, Visa ama nyinginezo wanazozikubali, unaweza ukafungua account ya hiz credit card kupitia Local bank yako, mfano Exim wanatumia Mastercard, CRDB , NBC wanatumia VISA card. ziko za madaraja tofaut kuanzia Silver had Gold

Kinachofanyika ni kuwa kama ww ni muuzaj unafungua Account na hiz retails Ebay , Amazon na nyinginezo, unatangaza Bidhaa zako iwe used ama Mpya, unakuwa unalipa kias kidogo cha fee kwa wao kukuruhusu kutangaza na kuuza bidhaa yako pale, ikitokea umeuza then pia kuna percent inaweza ikabak kwao. unapojisajili na kujaza namba yako ya credit card Ebay kupitia Paypal , na Amazon pia watajaribu kucharge kiasi kidogo za fedha ( mara nyingi ni Dola moja) kwenye hiyo account ilikujua kama ni legit na pia ww ndio mhusika, charges zikikubaliwa then ndo wata kuaccept kama legit seller ama buyer, na hiyo dola moja wanairudisha kwenye account yako.

MUUZAJI ANATAKIWA AWEKE TAARIFA KAMILI NA ZA KWEL KWA BIDHAA ANAYOUZA IKIAMBATANA NA PICHA IKIWEZEKANA, Ebay ama Amazon Watatumia hizo taarifa na mawasiliano kati ya Muuzaj na Mnunuz kuweka kutafuta suluhisho kama kutakuwa na Dispute kat yao

Mnunuaji ukinunua bidhaa online kinachotokea ni kuwa Ebay ama Amazon wanact kama vile broker wa mnunuzi na muuzaji maana yake ni kuwa kama mnunuaji unalipa kupitia Amazon ama paypal kwa Ebay, then Amazon ama Ebay huwa hawamlipi muuzaj had pale utakapokuwa umepokea mzigo wako, ama anaweza kulipwa kabla lakini ikitokea mnunuaj akacomplain na wakajiridhisha kuwa muuzaj ana makosa unarudishiwa pesa yako na wao wana deal na muuzaj na ndio maana hawaruhusu makabidhano ya mkono kwa mkono hata kama mnakaa mtaa mmoja wanarecomend itumike njia ya kutumiana kupitia currier agencies kwani kule kutakuwa na proof of delivery,

Amazon na Ebay they are very secure and reliable ,

NB: KUMBUKA KUSOMA DETAILS ZOTE ZA BIDHAA UNAYOTAKA KUNUNUA KAMA UNA WAS WAS MUANDIKIE EMAIL MUUZAJ KUPATA UFAFANUZI, EBAY NA AMAZON WATATUMIA MAWASILIANO YAKO NA DETAILZ ZA BIDHAA ILI KUPATA SULUHU YA DISPUTE YOYOTE NDO MAANA MAWASILIANO YA EMAIL YANAKUWA RECOMEND NA WALA SIO KUWASILIANA KWA NJIA YA SIMU, Kwenye Website zote kuna jinsi ya kuwasilina na wauzaj kwa njia ya Emali ambapo Amazon ama Ebay wanapata copy ya kila Email exchange kat yenu kwa hiyo hata kama muuzaj aliongopa kwenye maelezo bas anakuwa kajifunga, na usifanye biashara na mtu anayetaka malipo yafanyike nje ya Amazon ama Paypal kwa upande wa Ebay, mathalan kutumia Western Union kwan western union haina jinsi yanku claim kama umeletewa bidhaa fek

NB: kuna tatizo la sisi ambao tumo africa kushindwa kununua bidhaa nying kwa watumaj wachache ndo wanakubal kutuma africa wengine hawakubal.. ila kuna wajasiriamal ambao wako marekan wamefungua kampun inaitwa MYUS ukijiunga nao kwa ada ya dola 7 kwa mwez wanakupa address ya marekan ( kama sanduku la posta) ambayo utatumia kupokelea bidhaa zako..

tuseme unataka kununua simu lakin muuzaj haitumi bongo basi ww unampa mtumaj addrss yako ya US then wale wa MYUS wakipokea wanakutaarifu na pia wanakuchagulia less expensive charges za kutuma bongo then wanakutumia .. unaweza ukawaambia waaubir
mizgo mingine ili watume kwa pamoja ama unaweza ukawamvia warudishe mzigo wau wakupigienpiha wakutumie .. wanatuma mizgo kokote dunian

nawakilisha

CC:
KikulachoChako, Echililo, lovebitelol
 
Kuna thread kibao zilishawekwa humu jins ya kufanya manunuzi Ebay, ila kwa faida ya wengine nitarudia kwa kifupi ambavyo mimi natumia / naelewa, naamin wengine wataongezea kutokana na uzoefu wao.

kwanza kabisa kun online retails site kibao tofaut tofauti mfano Alibaba, Ebay , Amazon, Wadi na hata siku hiz bongo tuna Kyamu, anyway ziko nying ila utofauti unakuja na utendaj wao. hapa nitazungumia kuhusu Ebay na Amazon ambao nina experience nao wa miaka zaid ya mi nne

kwa kifupi online retails nying zina act as a middle man kati ya muuzaj na mnunuaji, kuna online shops chache ambazo pia zinauza product wanazotengeneza wao wenyewe mathalan Amazon. ambao pamoja na kuwa kama mtu wa kat lakin pia wanauza baadh ya product wanazotengeneza wenyewe kama vile Amazon TV, Amazon Tablet, Amazon E reader maarufu kwa jina la kindle , Amazon Phone inaitwa fire na vitu vingine vingi, lakin pia wanaruhusu watu kuuza bidhaa zao mpya ama used kupitia mtandao wao,

Ebay wao hawana bidhaa wanazotengeneza ila wanaruhusu muuzaj kuweza kutangaza na kuuza vitu kwenye webiste yao kwa malipo ya ada kidogo,

Ebay wanatumia Paypal katika swala la malipo ( ebay na paypal walikuwa kampuni moja ila ss hv wamesplit kwa sababu za kibiashara lakin bado ni sisters companies)

Amazon wao wanamfumo wao pia wa malipo

Muuzaj na Mununuaj wote wanatakiwa kuwa na Account kwenye hizi online shoopings website wakiweka details zao zote kuanzia physical Address had jinsi watakavyofanya malipo, kwenye malipo ni lazima ulipe kwa kutumia Credit card ya Master card, Visa ama nyinginezo wanazozikubali, unaweza ukafungua account ya hiz credit card kupitia Local bank yako, mfano Exima wanatumia Mastercard, CRDB , NBC wanatumia VISA card. ziko za madaraja tofaut kuania Silver had Gold

Kinachofanyika ni kuwa kama ww ni muuzaj unafungua Account na hiz retails Ebay , Amazon na nyinginezo, unatangaza Bidhaa zako iwe used ama Mpya, unakuwa unalipa kias kidogo cha fee kwa wao kukuruhusu kutangaza na kuuza bidhaa yako pale, ikitokea umeuza then pia kuna percent inaweza ikabak kwao. unapojisajili na kujaza namba yako ya credit card Ebay kupitia Paypal , na Amazon pia watajaribu kucharge kiasi kidogo za fedha ( mara nyingi ni Dola moja) kwenye hiyo account ilikujua kama ni legit na pia ww ndio mhusika, charges zikikubaliwa then ndo wata kuaccept kama legit seller ama buyer, na hiyo dola moja wanairudisha kwenye account yako.

MUUZAJI ANATAKIWA AWEKE TAARIFA KAMILI NA ZA KWEL KWA BIDHAA ANAYOUZA IKIAMBATANA NA PICHA IKIWEZEKANA, Ebay ama Amazon Watatumia hizo taarifa na mawasiliano kati ya Muuzaj na Mnunuz kuweka kutafuta suluhisho kama kutakuwa na Dispute kat yao

Mnunuaji ukinunua bidhaa online kinachotokea ni kuwa Ebay ama Amazon wanact kama vile broker wa mnunuzi na muuzaji maana yake ni kuwa kama mnunuaji unalipa kupitia Amazon ama paypal kwa Ebay, then Amazon ama Ebay huwa hawamlipi muuzaj had pale utakapokuwa umepokea mzigo wako, ama anaweza kulipwa kabla lakini ikitokea mnunuaj akacomplain na wakajiridhisha kuwa muuzaj ana makosa unarudishiwa pesa yako na wao wana deal na muuzaj na ndio maana hawaruhusu makabidhano ya mkono kwa mkono hata kama mnakaa mtaa mmoja wanarecomend itumike njia ya kutumiana kupitia shiping agencies kwani kule kutakuwa na proof of delivery,

Amazon na Ebay they are very secure and reliable ,

NB: KUMBUKA KUSOMA DETAILS ZOTE ZA BIDHAA UNAYOTAKA KUNUNUA KAMA UNA WAS WAS MUANDIKIE EMAIL MUUZAJ KUPATA UFAFANUZI, EBAY NA AMAZON WATATUMIA MAWASILIANO YAKO NA DETAILZ ZA BIDHAA ILI KUPATA SULUHU YA DISPUTE YOYOTE NDO MAANA MAWASILIANO YA EMAIL YANAKUWA RECOMEND NA WALA SIO KUWASILIANA KWA NJIA YA SIMU, Kwenye Website zote kuna jinsi ya kuwasilina na wauzaj kwa njia ya Emali ambapo Amazon ama Ebay wanapata copy ya kila Email exchange kat yenu kwa hiyo hata kama muuzaj aliongopa kwenye maelezo bas anakuwa kajifunga, na usifanye biashara na mtu anayetaka malipo yafanyike nje ya Amazon ama Paypakl kwa upande wa Ebay, mathalan kutumia Western Union

nawakilisha

CC:
KikulachoChako, Echililo, lovebitelol
Umepitia maeneo muhimu yote mkuu. Nakupa kongole.
 
Hapo kwenye" kumbuka kusoma details zote za bidhaa unayotaka kununua" ndipo panapoleta mgogoro siku zote- unakuta kitu kilicholetwa ni tofauti kumbe ni wewe ukusoma details vizuri
 
Nimekupata vyema mkuu, nilishaipitia ahsante kwa ukumbusho
 
vifuatavyo ni vitu ambavyo nimenunua amazon na ebay kwa miaka mi nne iliopita

1. new brand. original seiko five vintage usd 80 Shipping incl
2. kindle ink e reader wireless (nimeiuza) usd 130 shipping incl
3. full rain suite for motorcyle usd 50 shipping incl
4. kindle fire hdx 7" usd 280 shipping incl

5. kindle fire hdx 7" usd 280 usd incl
6. htc sikumbuk model usd 300
7. covers for kindle and htc usd 30
8. ear phone sony usd 50
9. ear phone sony usd 60
10. phone bluetooth device 40
11. phone bluetooth device 30
12 car seat covers 250
13. hdx kindle fire 7" 320
14 gold wedding ring
16 gold neckless
17 gold plated engagement ring
18 phone cover for samsung galaxy six plus
20. key holder for subaru legacy
21 key holder for ist and rv4
22. power bank (iliibiwa)
23 power bank mpya baada ya kuibiwa
24. car cigarette lighter usb charger

duh vingine nimesahau mpaka niangalie kwenye accuntz zangu

NB: amazon nawalipa mojakwa moja ila ebay pamoja na individual vendors nawalipa kupitia paypal no paypal no business
Dah so mkuu kwa ushauri wako Amazon na Ebay wepi ni bora
 
Nami nahitaji mwongozo jinsi ya kununua laptop ebay au amazon wakuu.
 
Back
Top Bottom