DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,294
- 83,133
Mkuu ,
Hiyo Miaka 34 unabidi kutulia Sana ,
Hiyo Miaka 34 unabidi kutulia Sana ,
[emoji1787][emoji1787]
Mi nashindwa kuelewa hii kauli,eti napenda mke wangu,huku unachepuka,ukiwa unampenda mtu huwezi chepuka bana acheni utaniFuta hii kauli. Unaempenda ni hilo gube gube linalokulaza macho na kukushindisha bila kula kisa wivu.
Ungempenda mkeo kwanza usingekuwa na mchepuko na hata kama ingetokea ukawa nae usingekubali kuwekeza asilimia 200 ya hisia zako kwa mchepuko kenge wewe
Nilidhan unawaza umelogwa hupati mtoto kumbe Ni ujinga ujinga tuRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo n ww mke wa ndoa hana mimba zaidi ya miaka 6.Na mchepuko nae hana mimba zaidi ya miaka 4.Unategemea kulogwa kweli?jipambanie kwanza ww kiongozi
Hajakuloga boss ila ni hali inatokea pale unapokuwa na mtu kwa muda mrefu ukamzoea na kutengeneza bond nzuri pamoja na yote sababu mlikuwa Mnachati na kuongea sana pamoja iyoo kihisia ilikuweka karibu naye sana kwa wakati uwoo mm nilikiwa na mmoja toka 2017 ninaye mke tayri ila nilikuwa nampendaa sana had I mwaka Jana akaanza kuwa na mwingine ilikuwa inaniuma sana hasira chuki hadi home ila now nimemsahau tunawasiliana Mara moja moja na maisha yanaendelea namla Mara moja moja nikijisikiaRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Kinachokuuma ni huduma ulizotoa hasa hasa vitu ulivyomnunulia ambavyo anaendelea kuvitumia kwa uhuru. Ndiyo maana wengine (wenye roho ndogo) hunyang'anya kila kinachowezekana anapoamua kuachana na mwanamke ili kusiwe na chochote atakachofkiria kwamba alimfanyia mwanamke huyo na bado anaendelea kukitumia na mwanaume mwingine.Rejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Tatizo Huna akiliRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Mkuu una story kama yangu aisee mm nasomesha chuo kabisa ila dem ndo haeleweki. Naandika sms tumetoka kugimbana sasa hivi. Nimempigia sim yupo kwenye usafiri wauma saa tatu hii namuuliza anaenda wapi ananijibu kwa shoga yake hata simwelewiRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.
Mke wangu na mimi kwa bahati mbaya hatujabahatika kupata mtoto. Najua mtoto ni mipango ya Mungu so bado tunapambana. Sasa changamoto iliokuepo hapa ni swala la mchepuko. Nina mchepuko wangu huyu wa miaka kama 4 hivi. Kila nikimuacha kwa namna mmoja au nyingine namrudia.
Sasa majuzi tumegombana baada ya kugundua kaanzisha mahusiano na mtu na kuanza kutoka nae kisirisiri. Makubaliano yetu kwa vile mimi mkristo siwezi oa mke wa pili ila yeye nitamtunza kwa kadri niwezavyo. Sasa kimeniuma sana kuja kupata taarifa kuna mhuni anaseleleka tu. So nikaamua kumuacha kabisa nakusema nampotezea.
Changamoto aisee imekuwa kubwa sana kumsahau huyu dada, kila nikikaa nawaza usikute wananyanduana na jamaa kwenye kitanda nilichonunua mimi napata hasira za ajabu. Ni week sasa siwasiliani nae ila moyo unakuwa unauma sana. Ndio maana nahisi ameniroga sio bure.
Maana kwao ni wale wazaramo. Nisaidieni najitoaje kwenye hii hali maana inapunguza ufanisi wangu wa kazi na mke wangu anauliza mbona ninakuwa na mawazo mazito sana.
Vipi kuna mbususu inazagaa zagaa inataka pelekewa moto?mzabzab pita hapa
Umejiroga mwenyeweRejea ya kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 34. Nipo kwenye ndoa kwa takribani miaka 6 sasa.