Nahisi nimebambikiziwa mimba

Nahisi nimebambikiziwa mimba

Wanataka kukushikisha hao we waambie tu akijifungua utapima dna kama wako basi utaanza kuhudumia hapo mwanao na swala la fine sijui fidia kataa sababu alikuwa na wanaume wengine ulimuacha ukiwa na sababu za msingi.
 
Nimekupata mkuu.....
 
Mtu hauna malengo nae na unajua ni muhuni lakini kwanini uchukue risk ya kusex nae kavu? Maana yake umepuuzia mambo mawili....Afya yako na mimba zisizotarajiwa

Wanaume irresponsible mtaendelea kulea watoto wa kubambikiwa hadi mjue umuhimu wa condoms

Subiri DNA
Hivi mnafikiri kupima DNA ni kama kupima malaria?
Ni kipimo chenye process ndefu
Hadi upate kibali mahakamani
Na ukipima utaambiwa mtoto ni wako usituletee watoto wa mtaan
 
Wanataka kukushikisha hao we waambie tu akijifungua utapima dna kama wako basi utaanza kuhudumia hapo mwanao na swala la fine sijui fidia kataa sababu alikuwa na wanaume wengine ulimuacha ukiwa na sababu za msingi.
Unajua process ya kupima DNA mzee?
Hiyo sio malaria
Hadi upate kibali mahakamani
 
Unajua process ya kupima DNA mzee
Hiyo sio malaria
Hadi upate kibali mahakamani
Unajua bei ya hicho kipimo?
Hebu naomba unielekeze mkuu wangu ili nijiandae mapema

Kwa uchunguzi niliofanya na kupitia baadhi ya thread humu

Unapima kwa mkemia mkuu wa serekali gharama ni 100000/= kwa mtu mmoja

Pia unapotaka kufanya hiyo DNA lazima upate hati toka mahakama au upitie kwa afisa maendeleo ya jamii wa halmashauri yako ......

Naomba uniongezee au nisaidie connection ni tatizo ambalo natakiwa ku solve

Nyege za kipuuzi zina nihukumu...
 
Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.

Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....

Baada ya mda nikakuta kaleta ndugu yake wa kike toka kijijini anasemaje amekuja kujifunza mjini na ame ni direct kwangu nimfundishe kazi za stationary....

Katika harakati za ujana kosa lilianza apa, nikaona kama anafaa kuwa mchumba ata wa badae nikaanzisha uhusiano naye.....

Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake halisi kama uhuni nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana nikampa ushauri mjini kuwa makini kuna magonjwa na siku akipata mimba nje ya ndoa hao vijana hatoweza kuja kuwaona.......

Baada ya kuachana nae takribani miezi mitano anakuja home kwa wazazi anadai ni mjamzito.....

Nilichoamua kusema ni kwamba tusubiri mtoto tupime DNA maana sijui kipindi chote icho alikutana na kina nani?
Baada ya apo familia yao wanataka tukaandikishe kwa balozi endapo ni wangu niwe responsibility

Changamoto nahitaji msaada wa mawazo apa.
1. Mwanamke anaweza kukaa na mimba yako kwa miezi 5 bila kukwambia ( hasa dada zangu naomba jibu)

2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....

3. Je kwa mazingira haya ungekuwa wewe ungefanyaje na kisheria ipoje kwa mbeleni maana hili swala limenichanganya..

4. Swala la kwenda kusign kwa balozi kuwa kama ikitokea mimba ni yangu nilipie fidia zote ilo limekaaje sio mtego ndio naji commit moja kwa moja...

Asante nategemea mawazo na ushauri wako.....
Hama mji tu, huyo changu alishajikoroga kwa vijana wale wale uliomkataza asilidili nao kwa kuwa watakuja mkimbia akishika mimba. Usikute hiyo mimba ni ya mwendesha baiskeli anayemtumia kumchotea maji ama dereva wa bodaboda wake. Achana naye, hama mji na umwambie asikujuwe kabisa, atafute huyo aliyempa hiyo mimba. Kujirusha ajirushe yeye na mahawara zake mwisho wa siku aje kukubambikia wewe mimba.
 
Hebu naomba unielekeze mkuu wangu ili nijiandae mapema

Kwa uchunguzi niliofanya na kupitia baadhi ya thread humu

Unapima kwa mkemia mkuu wa serekali gharama ni 100000/= kwa mtu mmoja

Pia unapotaka kufanya hiyo DNA lazima upate hati toka mahakama au upitie kwa afisa maendeleo ya jamii wa halmashauri yako ......

Naomba uniongezee au nisaidie connection ni tatizo ambalo natakiwa ku solve

Nyege za kipuuzi zina nihukumu...
Mambo sio marahisi hivo kijana wangu suala la kupima DNA sio mchezo mchezo
Ingekuwa rahisi hivo wangepima hata kwenye vituo vya afya au hospital za wilaya
Na ndiyo maana Hadi upate kibali mahakamani
Kuna vizingiti hapo kati mwenyewe utakata tamaa tuu uamue kulea

Na ukifanikiwa kupima utaambiwa mtoto ni wako lengo usituletee watoto wa mtaan
Jipange hela ya kipimo ni laki kwa mtu mmoja ila mpaka ufikie hicho kipimo hapa kati pesa lazima ikutoke nyingi sanaaa
Kuna vizingiti balaaa jipange kweli kweli
 
Shukrani mkuu nafanyia kazi ushauri wako pia hili swala nataka nitumie police maana wao wanaruhusiwa kwenda moja kwa moja bila vizingiti pia nataka ni claim kama swala la uharifu polisi yupo ni familia......

I hope nitapata accurate answer pia kuna kuangalia ata Chata za kifamilia japo ni jaribu kubwa maishani mwangu.....
 
Allergy ya nini?
😁😆! Mkuu haujawahi kusikia utetezi wa wapenda 'kavu'?

Halafu 'kavu' huwa ni biashara ndani ya biashara ujue!

Yaani wanakubaliana let say kwa hamsini ila kwa 'ndom', wakifika huko jamaa akidai allergy, huwa yakimtokea mapele akivaa, yanatengenezwa makubaliano ya bei nyingine ya kavu ndani ya mkataba wa makubaliano ya mwanzo.
 
Mtu hauna malengo nae na unajua ni muhuni lakini kwanini uchukue risk ya kusex nae kavu? Maana yake umepuuzia mambo mawili....Afya yako na mimba zisizotarajiwa

Wanaume irresponsible mtaendelea kulea watoto wa kubambikiwa hadi mjue umuhimu wa condoms

Subiri DNA
😂😂😂😂😂
 
Balozi huyu huyu wa ccm ninaye mjua?
Balozi wa nyumba kumi ana mandate gani kisheria kuhusu hili jambo?
Nyuuti kama paka amemtega panya darini, akijfungua kapme dna. Usije jikuta unalea damu ya kijambazi pasipo ridhaa yako!
 
Shukrani mkuu nafanyia kazi ushauri wako pia hili swala nataka nitumie police maana wao wanaruhusiwa kwenda moja kwa moja bila vizingiti pia nataka ni claim kama swala la uharifu polisi yupo ni familia......

I hope nitapata accurate answer pia kuna kuangalia ata Chata za kifamilia japo ni jaribu kubwa maishani mwangu.....
Sawa
 
Back
Top Bottom