Nahisi nimebambikiziwa mimba

Nahisi nimebambikiziwa mimba

Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.

Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....

Baada ya mda nikakuta kaleta ndugu yake wa kike toka kijijini anasemaje amekuja kujifunza mjini na ame ni direct kwangu nimfundishe kazi za stationary....

Katika harakati za ujana kosa lilianza apa, nikaona kama anafaa kuwa mchumba ata wa badae nikaanzisha uhusiano naye.....

Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake halisi kama uhuni nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana nikampa ushauri mjini kuwa makini kuna magonjwa na siku akipata mimba nje ya ndoa hao vijana hatoweza kuja kuwaona.......

Baada ya kuachana nae takribani miezi mitano anakuja home kwa wazazi anadai ni mjamzito.....

Nilichoamua kusema ni kwamba tusubiri mtoto tupime DNA maana sijui kipindi chote icho alikutana na kina nani?
Baada ya apo familia yao wanataka tukaandikishe kwa balozi endapo ni wangu niwe responsibility

Changamoto nahitaji msaada wa mawazo apa.
1. Mwanamke anaweza kukaa na mimba yako kwa miezi 5 bila kukwambia ( hasa dada zangu naomba jibu)

2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....

3. Je kwa mazingira haya ungekuwa wewe ungefanyaje na kisheria ipoje kwa mbeleni maana hili swala limenichanganya..

4. Swala la kwenda kusign kwa balozi kuwa kama ikitokea mimba ni yangu nilipie fidia zote ilo limekaaje sio mtego ndio naji commit moja kwa moja...

Asante nategemea mawazo na ushauri wako.....
Ipo hivi

1. Kwenda kwa Balozi
Hii ni kosa kubwa utafanya. Utakuwa umeweka ushahidi wa maandishi kwamba kwa namna fulani hara kama sio moja kwa moja unahusika au unaweza kuhusika na huo ujauzito. Acha ibaki hivyo hivyo mpaka pale ushahidi wa kisayansi utakapopatikana.

2. Kupima DNA.
Hii bi hatua ya mwisho kabisa baada ya ushahidi wa awali kushindwa kutoa majibu. Kwa sasa huo ujauzito sio wa kwako mpaka ajifungue na wasikulazimishe na hakuna wa kukulazimisha.

Kwanini wasikulazimishe?
Mlikubaliana kuachana baada ya wewe kugundua ana wanaume wengi kwa wakati huo. Ana uhakika gani mimba ni yako na sio hao wengine?

3. Subiri Muda wa kujifungua.
Huu ndio ushahidi wa kwanza. Subiri uone muda wa kujifungua. Utakupa jibu la lini alibeba huo ujauzito. Toa miezi mitatu tu hapo kwa tarehe ya kujifungua utapata roughly mwezi aliobeba mimba. Mostly utagundua sio wewe. Kama ni wewe kwanini alisubiri muda wote huo. Yaweza kuwa amekataliwa huko anakuangushia jumba bovu.

Subiri mtoto azaliwe ndipo muanzie hapo.

4. Hakuna cha fidia ya gharama, huyo sio mke wako na wala hakuwa mchumba. Hauwajibiki kwa lolote.
 
Siku nyingine; ukiwa unataka kumwacha mwanamke, usimwambie "tuachane"... We piga kimya, atajiongeza mwenyewe. Huwa wanapenda mashindano yasiyo n maana na mwisho wa siku atakupotezea muda na kukudhalilisha.
 
Ila wewe kijana umeshindikana🤣🤣🤣 yaani ulikuwa unamshauri Malaya mwenzio kwamba awe makini ,sijui kimeenda kimerudi...kumbe hata wewe ulimla bila Kinga na si ajabu hata kwenda kituo cha afya kupima hamkwenda, kwasababu Kama mngeenda muhudum wa afya angewashauri pia kuhusu uzazi wa mpango.

Pole sana kwa hilo..
 
Si ilikuwa tamu ukamwagaa hayaa wajibikaaa.
 
Nenda n
Hakuna jambo nimeficha mkuu
Mkuu kuhusu swala la shule sio mwanafunzi

Kuna issue za kwenda kwa balozi kutia sign ya maelezo ndio apo changamoto nataka kujua ina effects kwangu....

Kuhusu makadilio kasema miezi mitano ambayo ni mda tulipotengana .....

Naomba muongozo wako mkuu vaa hii situations....
aye kwenye kituo cha afya au hospitali ukampime kujua umri halisi wa ujauzito wake na sio umri wa ujauzito kwa kusimuliwa naye. Nadhani lengo lako limo kwenye kujiondoa kwenye utata huo unaokupa wasiwasi.
 
Hivi mnafikiri kupima DNA ni kama kupima malaria?
Ni kipimo chenye process ndefu
Hadi upate kibali mahakamani
Na ukipima utaambiwa mtoto ni wako usituletee watoto wa mtaan
Hizo process atajua mwenyewe mkuu
Yeye kasema atapima DNA
 
😁😆! Mkuu haujawahi kusikia utetezi wa wapenda 'kavu'?

Halafu 'kavu' huwa ni biashara ndani ya biashara ujue!

Yaani wanakubaliana let say kwa hamsini ila kwa 'ndom', wakifika huko jamaa akidai allergy, huwa yakimtokea mapele akivaa, yanatengenezwa makubaliano ya bei nyingine ya kavu ndani ya mkataba wa makubaliano ya mwanzo.
😂😂😂 haaa!
 
Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.

Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....

Baada ya mda nikakuta kaleta ndugu yake wa kike toka kijijini anasemaje amekuja kujifunza mjini na ame ni direct kwangu nimfundishe kazi za stationary....

Katika harakati za ujana kosa lilianza apa, nikaona kama anafaa kuwa mchumba ata wa badae nikaanzisha uhusiano naye.....

Baada ya mda kupita kama miezi miwili nikaanza kujua tabia zake halisi kama uhuni nilifuma mawasiliano ya simu na wanaume wengine, pia mtaa apa kuna tetesi kuwa anatembea na vijana nikaona hii ni red flag nikamwambia tuachane nitamuuliza una mimba akasema hakuna una ugonjwa wowote hapana nikampa ushauri mjini kuwa makini kuna magonjwa na siku akipata mimba nje ya ndoa hao vijana hatoweza kuja kuwaona.......

Baada ya kuachana nae takribani miezi mitano anakuja home kwa wazazi anadai ni mjamzito.....

Nilichoamua kusema ni kwamba tusubiri mtoto tupime DNA maana sijui kipindi chote icho alikutana na kina nani?
Baada ya apo familia yao wanataka tukaandikishe kwa balozi endapo ni wangu niwe responsibility

Changamoto nahitaji msaada wa mawazo apa.
1. Mwanamke anaweza kukaa na mimba yako kwa miezi 5 bila kukwambia ( hasa dada zangu naomba jibu)

2. Nahisi ulikuwa mtego ili nimu oe sina mawasiliano naye kwa kipindi chote hiki wala hisia naye, na wala sijawahi kupanga nimu oe je nitumie mbinu gani ya busara ambayo itanifanya niwe mbali nae....

3. Je kwa mazingira haya ungekuwa wewe ungefanyaje na kisheria ipoje kwa mbeleni maana hili swala limenichanganya..

4. Swala la kwenda kusign kwa balozi kuwa kama ikitokea mimba ni yangu nilipie fidia zote ilo limekaaje sio mtego ndio naji commit moja kwa moja...

Asante nategemea mawazo na ushauri wako.....
Kwenda kusign kwa balozi! Unamaanisha kwa sasa hutohusika na huduma zozote mpaka ajifungue na isibitike mtoto ni wako ndo ulipie gharama zote za kipindi akiwa mjamzito sio? Kama ndivo iko vizuri hyo, tatzo DNA zetu Bongo ni nadra kutoa majibu ya "mtoto sio wako" #Mondi shahidi
 
Hak
... 'Kisheria ipoje'... !
Mkuu kwani huyo malaya ni mwanafunzi?

Unajichanganya sana ujue!

Umemtilia shaka juu ya maelezo ya ujauzito wake na ukaeleza kwamba unamsubiri akijifungua mkampime Dna ya mtoto, sasa kuna ushauri gani zaidi ya huo unaoutaka kutoka kwa wadau?

Lakini kwa maelezo ya thread yako, kuna jambo unalificha hautaki kuliweka wazi.

Nasema hivyo kwa sababu, kwa mwanaume matured hauwezi kushindwa kuelewa mkadirio wa ujauzito wa hawara yako, kisha uanze kuuliza maswali mepesi namna hii, eti sijui ufanyeje, sijui sheria inasemaje kumpa uja uzito hawara!

Hapana, kuna jambo unatuficha hapa.
una Sheria ya kulea ujauzito mkuu hata wasikutishe
 
Back
Top Bottom