Nahisi nilipenda nisipopendwa


Cousin... Ngoja nikusaidie, nahisi ulimaanisha hiki kifungu.


Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
 
Tulia fanya kazi ongeza kipato..ndoa si suluhisho la maisha yako. Dili ni kuzisaka pesa utaingia kwenye ndoa ukose furaha ya maisha.
 
asante cousin kwa kunisaidia si unajua tena mambo yakiwa mengi kichwani unasahau na mengine asante bestito
Cousin... Ngoja nikusaidie, nahisi ulimaanisha hiki kifungu.


Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
 
polee thana,pia shukuru mungu anakupenda amekuokoa nje kabla hujaigia mtegoni...wako yupo..tena yaweza nikawa mimi
 
Zawadia Umeongea kwa uchungu mkubwa mpaka nimehisi nasikia sauti yako mathematically. Am glad umeshea na sisi kiasi umepunguza uzito. Mushukuru saana Mungu kwa Dhoroba aliyokuepushia tena Funga kabisa muombe msamaha ulitaka kuasi dini yako kwaajili ya huyo Dawa chungu asokuwa na Haya Bandidu asiye na sifa za kiume.
Umebarikiwa sana kuachwa naye plz Forget and start a new life!!!
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni wote kwakunitia moyo,Nimefarijika Sana na nimepata amani tele moyoni.
 
Last edited by a moderator:
whatever happens in our lives happens reasons....... so usipate tabu sana dada angu...angalia maisha yako zaidi na pia ujijenge kimaisha siyo usibiri eti mpaka uolewe ndo uanze kujingenga...anza sasa na kisha utakuja kupata mme mwema na mwenye upendo wa kweli kwako....Mwombe Mungu sana pia akupe uvumilivu, inawezekena pia maisha yako yakaenda hata bila mme.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…