Nimesema kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wake hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mtoto wake. Na siyo kwamba alikuwa hatoi mchango wa kifedha kwa mwanae. Alikuwa anatoa tena bila hata ya kushurutishwa na mahakama. Hakumkataa mtoto wake. Ni kwamba wao wawili tu uhusiano wao haukufanikiwa. Na mwisho wa siku kwa mama yoyote kumnyima baba watoto wake kuwaona wanae si vizuri. Humkomoi yeye zaidi ya kuwanyima watoto fursa ya kumjua baba yao. And each case should be looked at on a case by case basis. You can't apply a one size fits all approach in each and every situation. My situation was very tricky and complicated to say the least. That's why in the end I just to let her go because it wasn't going to work with the way things were.
Hapo sielewi hata sijui umeongea nini. Huyo mwanamke wangu alikuwa na kiranga? You mean she smashed my hommie Kiranga? What the...???
Na sina shaka hata kidogo kuwa walifanya. Kama nilivyosema, nilizaliwa saa mbili usiku lakini haikuwa jana usiku.