Nahisi nilimegewa

Unajua mambo ya aina hii ndo yanapelekea wanawake waliozaa bila ndoa wanashindwa kupata wanaume wa kuwaoa hata kama ni innocent, tatizo inakuwepo hii bond kati yao na ma ex wao kuhusu mtoto, sijui ila nadhani ni vizuri wanawake tuwe na roho ngumu, hivi inakuwaje mtu kakuacha wakati unamhitaji sana, wakati wa ujauzito, which means kakikataa hata hicho kiumbe halafu anatokea two years later anajidai anataka kumwona mtoto na mama bila kufikiri unapanda ndege kumpelekea lol! kina mama roho zetu nzuri hizi zinatucost sana aisee.

Umeonae? sasa unaanza kuelewa. Lini utatangaza matokeo ya zile kura za maoni ya INFIDELITY? (Sore ofu topiki)
 
Dah pole komredi nijuavyo mm daima mahawala huwa hawaachani kamwe.
Huwa tunaenda kwa mwendo wa kukumbushia sijui labda kama mliachana kwa mabifu lakini kama kwa amani dah komredi kukumbushia muhimu hata ikipita miaka 10 mkionana tu mna du ze nidifull angalizo lazima kiburudisho kiwe na mvuto.
Mkuu hapo kwenye red umeniacha mbavu sina.
 
DC brother dont get me wrong of course Women want to be treated like ladies, with respect and adoration lakini sio u supplicate kwake... sasa kama huyu Brasil kwanini amkubalie mchumba wake afuunge safari kumpelekea mtoto X... wewe unategemea huyo mwanamke anamheshim kweli?

what kind of man will allow that?
Sis hapa umenena. Nimekupa na thanx juu.
The Following 2 Users Say Thank You to Noname For This Useful Post:

Da Womanizer (Today)
 
Komredi shukrani bana. Mimi niliona dalili zote kuwa alimegwa. Hata angefikia wapi, kitendo cha wao kuwa karibu hivyo peke yao ni ushahidi tosha wa kimazingira kuwa walifanya matusi. Kwani mtu kwenye haya mambo ya malavidavi lazima umkamate mwenzio with his/her hand in the cookie jar? Hell to the noo....ni kutumia akili yako tu ya kuzaliwa!
Du! hii lugha imenikumbusha mbali sana aisee LOL
 
asingelimpeleka mtoto kumkuona baba.....................baba angefuata mwanawe kumuona na ingelilazimu kuwa mama ndio ende basi angefikia angalau hoteli au kwa rafiki wa kike ............hiyo ya kufikia kwa njemba, hata mie nafikiri walimegana but inaweza ikawa vyengine.

wewe kama unapenda fumba macho tu
 
hihihihihiiiiiiiiiiiiii, sicheki kwa furaha, ila ni cheko ya kukuhurumia! Wewe "zoba"! Kaka mtalaka huwa hatongozwi, yaani walijilia raha zao mpaka basi!

Brasil mdogo wangu, akili ya kuambiwa changanya na yako.......then utapata jibu!!!
 
Brazil.............wanawake wanapenda kushikiwa akili kwa kiasi fulani.........usimpe uhuru wa kiasi hicho. wewe mwanamke anakwambia anaenda kwa mwanamme na wewe unamkubalia?

mwanamke alikuwa anataka umakataze apate kujisifia kwa wanawake wenziwe Brazil anajali, ana wivu.............shtuka baba
 
Hapana! Mnakosea. Kulikuwa hakuna cha kuringishia. Hiyo ni tafsiri yenu tu. Maslahi ya mtoto yaliwekwa mbele kwa sababu mtoto alikuwa hamjui baba yake na kwa sababu zilizokuwa juu ya pande zote mbili, baba mtoto hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mwanae. Sasa ingekuwa wewe ktk hali hiyo ungefanyaje huku una mtoto wa miaka miwili? Ungempandisha ndege peke yake? Na ndege gani hiyo wangemruhusu mtoto wa miaka miwili kusafiri peke yake?

useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!
 
Brazil.............wanawake wanapenda kushikiwa akili kwa kiasi fulani.........usimpe uhuru wa kiasi hicho. wewe mwanamke anakwambia anaenda kwa mwanamme na wewe unamkubalia?

mwanamke alikuwa anataka umakataze apate kujisifia kwa wanawake wenziwe Brazil anajali, ana wivu.............shtuka baba

Gaijin Nashukuru kwa hili angalizo..... mi ndio maana waifu akiniambia anaenda hata msibani lazima aambatane na escort!!
 
useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!
hili hitimisho si mchezo.
 
Listen people. Hindsight is almost always 20/20 and now in retrospect, I think I let my guards down and fell in love. This girl had me intoxicated. I liked her style - the way she dressed, the way she smelled, the way she talked, the way she carried herself, and more. I couldn't help myself but fall for her. She gave me all her loving and I gave her mine. She wanted the title to be my girl and I wanted the title to be her man. So we let into each other's world.

We kicked it like best friends. But let me tell you. Love can be so blinding that wrong can seem right and right can seem wrong. At the end of the day I had to think with my head and did what I had to do. I cut her loose. You live and learn, so they say.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Chrispin
user-offline.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Better to have a plain wife for yourself than a beautiful wife for others.

Signature noted sir
 
hili hitimisho si mchezo.

nimesoma maelezo ya mlalamikaji tu bahati mabaya mlalamikiwa amekataa kujitetea sasa nisemeje!!!!

Lakini Carmel hapo unadhani kulibaki kitu.......???
 
Listen people. Hindsight is almost always 20/20 and now in retrospect, I think I let my guards down and fell in love. This girl had me intoxicated. I liked her style - the way she dressed, the way she smelled, the way she talked, the way she carried herself, and more. I couldn't help myself but fall for her. She gave me all her loving and I gave her mine. She wanted the title to be my girl and I wanted the title to be her man. So we let into each other's world.

We kicked it like best friends. But let me tell you. Love can be so blinding that wrong can seem right and right can seem wrong. At the end of the day I had to think with my head and did what I had to do. I cut her loose. You live and learn, so they say.

Youy said well broda, after all love is all we need. if you love her that much and she feels the same, why not forget all these feelings and move on with her? Its not like she did a lifetime crime.
 
Pole sana Nyani. Inauma sana hasa kama binti huyu ulikusudia kumvalisha pete. Kwa jinsi ulielezea uzuri wake sidhani kama jamaa hakutinga kwenye maeneo nyeti. Kama alilala sebuleni basi njemba naye alihamia sebuleni. Ningekuwa mimi katika hali kama hii ningefanya nini? Ningekataa kata kata binti kumpeleka mtoto kwa jamaa ningejaribu sana kumshawishi ili jamaa aje kumtembelea mtoto hii ingepunguza kwa kiasi fulani uwezekano wa kutinga kwenye maeneo nyeti.

Niliwahi kuwemo katika similar situation na binti mmoja mrembo sana (lakini hakukuwa na mtoto)tulikuwa kama chanda na pete na huyu nilidhani angekuwa ni wangu wa milele lakini yakatokea yaliyotekea basi nikaamua kushika hamsini zangu.
 
useless man....mimba alishindwa kuilea hata mtoto kumwona tena apelekewe.???

Nimesema kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wake hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mtoto wake. Na siyo kwamba alikuwa hatoi mchango wa kifedha kwa mwanae. Alikuwa anatoa tena bila hata ya kushurutishwa na mahakama. Hakumkataa mtoto wake. Ni kwamba wao wawili tu uhusiano wao haukufanikiwa. Na mwisho wa siku kwa mama yoyote kumnyima baba watoto wake kuwaona wanae si vizuri. Humkomoi yeye zaidi ya kuwanyima watoto fursa ya kumjua baba yao. And each case should be looked at on a case by case basis. You can't apply a one size fits all approach in each and every situation. My situation was very tricky and complicated to say the least. That's why in the end I just to let her go because it wasn't going to work with the way things were.

huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!

Hapo sielewi hata sijui umeongea nini. Huyo mwanamke wangu alikuwa na kiranga? You mean she smashed my hommie Kiranga? What the...???

Na sina shaka hata kidogo kuwa walifanya. Kama nilivyosema, nilizaliwa saa mbili usiku lakini haikuwa jana usiku.
 
nimesoma maelezo ya mlalamikaji tu bahati mabaya mlalamikiwa amekataa kujitetea sasa nisemeje!!!!

Lakini Carmel hapo unadhani kulibaki kitu.......???

Ni ngumu kuamini kwa macho na masikio ya nyama, ila kwa wale waaminio, wenye imani kali kiasi cha kuhamisha milima hayo yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom