Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

Jitathimini kama unamapungufu jirekebishe kama hauna mwache aende zake huyo hatobadirika.
PLAN B
tafuta kadada na nyie muitane wapenz uone itakuaje
 
Afuu usipende kushika shika sim ya mpenzio ni preshaaa!nobody z perfect!haswaa zama hizi mkakaaa!
 
HICHO KICHENCHEDE umeshindwa kukidhibiti kutokana either una asili ya upole au uyo mwanamke ni mjanja kuliko wewe..
biti la mwanaume ni biti tosha...ukimwambia acha ana acha ,akijaribu bas ni kwa siri sana bila yako kufahamu
mimi nikichimba biti ndani ya nyumba adi mama watoto anajua nataka kuua mtu...dadadekii, make sense of what you say..

au sio mkeo uyo ni kachumba tuu
 
Dah kuna watu majasiri sana. Hivi why on this Earth would you call or ask to meet another man to ask if he is screwing your girl? Unakuwa hujiamini au? Kaka huyo demu wako anakamuliwa na huyo checkbob. Wanakuchora sana na kukucheka. Eti amekuja akakana na kuomba msamaha. Hamna kitu, ni sanaa tu hizo. Na demu wako anamkubali sana huyo jamaa. Samahani najua inaumiza lakini inauma zaidi kuona kijana kama wewe unakubali kufanywa zoba. Piga chini huyo demu kicheche, tafuta mwingine. Wapo wadada wanajiheshimu. Vile vile acha tabia ya kupekua pekua simu ya mwanamke, utaumiza kichwa bure hawa viumbe wana mambo mengi.
 
Mwanamke au mwanaume ni sawa na bahari na samaki huwezi kuwalinda utalinda Tanga. Watu watavua pemba
 
Achana naye .. Usikubali mapenzi yakuumize japo ni vigumu ila huyo mwanamke hakuheshim .. Jikaze kiume mbwage . Tunza heshima yako kaka .. Ukivumilia badae yatakukuta makubwa zaidi ya haya.
 
Back
Top Bottom